Kwanza ccm tusha wachoka,
cdm ni maji ya moto walinenaga zamani,
mmmmmmh
pili kimetoka mbali kwa matatizo changamoto na visa visa fulani,
eeeeiiiiiiiiiih
ooooh tatu ufisadi wenu ccm...
Mchungaji mmoja wa makanisa ya kisasa alikua akihubiri kuhusu dhambi ya ULEVI jumapili moja,waumin wengi wa kanisa hilo walikua ni watu wa kilaji saana,bahati nzuri sehem kanisa lilipo jiran kuna...
Jamaa kamuaga mkewe anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya 1 kalala asubuhi alipoamka kachungulia kwake kukoje, si kamuona jamaa yuko nje ya...
Hii ilitokea katika daladala litokalo posta kwenda ubungo, kondakta kauliza ''manzese hapo kuna mtu anashuka?''
Dada m1 akajibu ''Tuna mitandio''.
Konda kauchuna,
kufika ubungo maziwa yule dada...
Umofia Kwenu,
Hv hz plate no za rangi ya kijani au blue wanatoa kwa mtu yeyote au ofisi za kibalozi? Maana kuna moja V8 nyeusi inapita hapa kunduchi mtongani nimeshindwa kuielewa ni ya nchi gani...
Usiku wa leo,wa tarehe 14,siku ya jumapili kuelekea jumatatu.
Nilipata maono katika ndoto.
Niliona mji mmoja ambapo watu walikuwa wakisherehekea ama wakiburudika katika hoteli pembeni ya...
What d'u miss back in days? As for me Gone are the days when I could hang out with my friends freely without worrying about time but know I can't even hang 3hours without wife calling to check one...
Teacher: What is the chemical formula of water?
Students: H,I,J,K,L,M,N, O.
Teacher: What rubbish is that?
Students: Sir! You said the chemical formula for water is H to O yesterday.
Madenge baada ya kufaulu mtihani wa Form Four akaambiwa achague zawadi yoyote aipendayo,
Madenge: nataka posa nikamuoe bibi maana ni siku nyingi amekuwa akiniita mchumba wake,
Baba Madenge...
Jamvin muhali gani? Mi mzima ila jaman sina usingizi kabisaaa yan leo mchana melala kweli sa sielew sahii nafanyaje na ivi hapa hakuna single boy loooh ntakoma mbona.. Basi atawenye wake mkuje na...
Spika wa bunge chitchat Madame B mkuu wa protokali chitchat manoah mwenyekiti wa cc mahusiano Baba V
rais wa shirikisho la chitchat nchini Arushaone na waheshimiwa wengine,
napenda...
MLEVI mmoja aliwaambia wenzake 'Jamani nina wasiwasi, nahisi mimi ni Mungu'. Wakamuuliza kwa nini unahisi hivyo?
Akajibu! Jana ile kufika nyumbani tu mke wangu akasema MUNGU WANGU, umelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.