Kuna watu ukisoma mada zao hadi unabaki unajiuliza huyu mtu ana umri gani? Yaani kila anachoandika lazima ucheke.
-Dj Nalimison, huyu bro yaani hua ananichekesha sana hekaheka zake za usanii na...
Nasikitika sana kusema nimezidi uzito na mwili umekuwa mkubwa zaidi kiuzito
Nimefanya jitihada zote ila zimegonga mwamba. Leo nimemtorosha huyu binti ambaye ni mpenzi wangu chuoni na kumuita loji...
Hebu leo tufanye hii challenge kwa wote mnaosema kuwa urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo, mtumie msg best friend wako muambie "kwanini mpaka leo hatujawahi kuwa katika mahusiano ya...
May 20 Mohammed wa 5 nililetwa kwenye dunia hii...Asante Sana familia, baba na mama kwa upendo wenu mpaka leo nilipofika..pole Sana mama angu kwa yote uliyoyapata baada ya kunileta duniani miaka 2...
Wakuu, za sahizi tena
Nipo hapa nacheka kaa fala, π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Hii ni baada ya ku dislike baadhi ya comment za watu na mtu akaamua kunianzishia thread
Asee hivi nyie watu mnajua mnabishana na...
Wahenga wenzangu habarini!
Natumaini mu wazima wa Afya, kwa wagonjwa na wenye matatizo ya aina yeyote poleni, Mungu awajalie na kiwapa wepesi wakujikwamua
Wahenga mnakumbuka
1. Zamani ukitaka...
Nilikuwa natafuna mke wa mchungaji kila Ijumaa (ile mida ya mchana). Naenda namchukua pale jengo la VIVA (ofisi kapuni), naenda mtafuna Namnani mpaka saa 11 jioni namrudisha kwake Ubungo Maziwa...
Hahahah mademu wengi ukiwauliza wana experience gani na kina Issa utasikia tabia za kibandidu tu
Jamani sisi ni watakatifu sana πππ
Yesu awaokoe wote
Na Darubini yangu MINOCYCLINE inaniambia kuwa Watatumbuliwa Wote ila siyo Yeye kwani Yeye hapo kawekwa Kimkakati na Mstaafu mwenye Nguvu na anayemmudu Mteuwaji ili Mambo yake yaende na Chenji za...
Kwakweli mtaani kunafurahisha ndugu zanguni, kuna vitu vikitokea huwa nakaa nakusemea siwez hata kitaa hiki.
Bila kupepesa, nikiwa kitaa na marafiki tunagonga nyundo za vijiweni.. Ghafla bin vuup...
I wanna say ni kwamba kama una wanawake wengi lets say 4+ Unaweza unda group la WhatsApp ili uwe unawatumia Taarifa kwa Pamoja ili kuokoa Muda.
Badala ya kupoteza Muda kuchart na kila mtu u may...
Mimi nafanana sana na Tupac na kwa mbali nafanana na godluck gozbert na mke wangu anafanana na mdada aliye pichani hapo yaani copyright kwa zaidi ya asilimia 96..je wewe na mpenzi wako mnafanana...
Mimi si mtumiaji wa vyote hivyo lakini kama nitaamua siku moja basi nitachagua jani kwasabu
-haivutwi hadharani
-haivutwi kila wakati
-inatibu baadhi ya magonjwa hasa ya kisaikolojia...