JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nina shida nae Kubwa na Muhimu.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Happy mother's day. We love you, our mothers, and we will continue to care for them and cherish them all the days of our lives. May God give our mothers a long life.. let's all say Amen.
2 Reactions
1 Replies
334 Views
jana nchi ilisimama kwa masaa kadhaa baada ya muwekezaji mkubwa kwenye suala la mitandao ya kijamii kutimiza miaka mitatu ya uwekezaji baada ya kutoka ulaya na Marekani na utajiri wa kutisha...
26 Reactions
225 Replies
32K Views
Hello members!! Nimekua nikisoma id za members kwa kweli zingine zinafurahisha, zinahuzunisha na kusisimua pia. Nimeona kuanzia uzi huu maridhawa kabisa mwana jamii pita hapa tueleze maana na kwa...
17 Reactions
250 Replies
9K Views
Habar wana JF Tunamshukuru Mungu anaendelea kutupigania Finally usiku wa kuamkia leo wife amejifungia na tumepata mtoto wakiume na wote wako salama mama na mtoto tunashukuru Mungu Kwa heshima...
17 Reactions
154 Replies
3K Views
Wametoa kongamano la kujadili rasimu ya elimu wanatupeleka huko wanakojua wao
1 Reactions
2 Replies
290 Views
(1) Mbona Taifa Stars haichezi na Yanga?😂 (2) Mbona Bocco amefungia kichwa na ni mpira wa miguu😂 (3) Mbona refa hawampi pasi na amevaa njumu😂 (4) Mbona mchezaji akifunga golini kwake...
1 Reactions
20 Replies
794 Views
Nikiwa lecturer bora au kwa namna nyingine nikiwa mmoja wa wafanyakazi bora wa nchi ya nchi ya Russia hatimaye wiki iliopita nimeweza kutimiza ndoto yangu ya kukutana na Rais wa Urusi bwana...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Hii couple kiukweli naionea gere Sana couple Bora kabisa toka JF ianze inafanya vizuri Kama ile ya nifah na mume wake mzee wa ma story.nataka kwanza niwe na mpenzi Kama mahondaw yaani full Raha...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Wewe mzi...fu nakuchana leo, ukienda lodge uache kusema show time bei gani. Ni short time
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Za ndani kabisa nimepewa info kwamba Muammar Gaddafi alijificha kwa membe lindi kule rondo platue kule nasikia pana bonge la handaki sasa gaddafi alijificha kule alipokaa akaamua aende nchi kwake...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Jamani nini hiki? jana asubuhi nipo faragha wakati nashughulika nika sweat, hali hii ilipelekea kushangaa mno. Sikushangaa ku sweat ila ni kutoa vichwa vya dagaa wabichi badala ya maji maji kama...
1 Reactions
12 Replies
666 Views
Wasukuma walinigwaya pamoja na kunikaribisha kwa ukarimu mkubwa[emoji1545].. Nadhani tatizo lilikuwa ni lile fuko la tunguli nililo share picha zake kwenye ile post [emoji1787] Fuko lilifika...
3 Reactions
41 Replies
1K Views
Habari wadau mabestito wa zamani na wasasa (wanasema ya kale ni dhahabu) Ninafuraha iliyoje kumtakia mwandani wangu kumbukizi ya kuzaliwa kwake, Mungu ampe miaka mingi ya ubabu kabisa aje kusahau...
9 Reactions
30 Replies
871 Views
Nimebakisha kilometres 400 hivi kufika.. Ndio nimetoka Singida muda si mrefu See you there..! When you see me...! Over the top[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
18 Reactions
205 Replies
9K Views
Ndugu zangu, kizazi kipi hapa ni bora, 1980’S - 1990’S watoto wa 2000 hii mada haiwahusu.
4 Reactions
19 Replies
792 Views
Najua hapa wengi mtabisha but ukiacha watu wa mataifa mengine, watanzania wengi wanatamani wafike Mkoani Arusha tofauti na mikoa mingine. sio kwa sababu ni kuzuri sana but kuona kile...
0 Reactions
6 Replies
390 Views
Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo. Source: Gazeti la Mwananchi. My Take: Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au...
9 Reactions
186 Replies
13K Views
Mbwa wahuni sana kwenye mapenzi kuliko wanyama wengine, mbwa haoni aibu kungonoka mbele za watu tofauti na paka yeye huenda mafichoni
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Napenda kutumia nafasi hii kuwaasa wananchi wachukue tahadhari kwani Simba wamekuwa wazururaji tena hawana lengo wala shughuli yoyote ya maana wanayofanya mjini na wakati mwingine wanaweza...
5 Reactions
3 Replies
300 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…