Serikali ingepunguza bei ya bia kupandisha bei za
vipodozi. Kwanza bia
zinafanya watu waone
wanawake wote ni wazuri...
Vipodozi vina sumu kali yenye kuua haraka ngozi, maini, figo, macho na akili...
Mzee Madiba Rais mstaafu wa Afrika kusini Mwana wa Afrika kipenzi cha wengi duniani imethibitika hayuko HAI mkoani kilimanjaro bali yuko kliniki moja Afrikakusini akiendelea kupata matibabu
Salaam,
baada ya kukurupushwa na kiwatengu wakati natega ndoano ya kuvunja ndoa ya mimisa na Mwanathropolojia naomba kujitokeza kumzoa mwanamke yeyote ambae hajielewielewi au hajitambui ili...
Hivi ingekuwaje maisha unayoishi sasa ukakuta ni ndoto.Ile unashtuka unajikuta upo darasani,tena darasa la pili mwalimu anafundisha somo la mwandko na ww kwa aibu na uchovu umejiinamia unaangalia...
WANAUME jitahidini kidoogo kuwa Romantic lasivyo
hali itakuwa mbaya kwenu..Ulivyokuwa unamtokea
mdada wa watu ulimjali..kila saa message...Umeku
la..twende lunch..I love you za kumwaga kama...
habari za mchana wana cc wote
Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kuwasabahi nyote mliopo hapa CC
Nimefurahi kujua kuwa mnaendelea vyema katika shughuli, kazi, masomo na
mamabo mengine...
KDDDA Company
Box 100 Musoma
APLICATION OF JOB
I am aply to my job of security guard to you boss in you company of KDDDA.
I am complete to Standadi 7 examination certificate in 1997. My...
Marafiki wawili walienda
interview
bt kwa sababu mmoja wao
alikuwa chizi na huyo mwingine
alikuwa mwerevu, waka agree
mwerevu kwanza aingie alafu
akitoka apee chizi leakage
(majibu) kwa...
On the outskirts of town, there was a big old pecan tree by the cemetery fence. One day two boys filled up a bucketful of nuts and sat down by the tree, out of sight, and began dividing the nuts...
Jamani leo jioni kutakuwa na show ya tv ya mabox,nimeshajenga Kibanda,kibatari ninacho,mje na mafuta ya taa wana CC, ndio kiingilio,nimeshachonga vikatuni vingi sana,tutaangalia show mbali...
Aisee sijui hata nisemeje,anyway natumai hamjambo ndugu zangu.
kichwa cha habari hapo juu chahusika.
ni hivi wakubwa,mimi nilikua sijui kumbe maza na mdingi ni mamember humu,tena hasa chit chat...
kwa kweli ktk watangazaji wa hapa bongo hakuna anayemfikia huyu jamaa kwa uchambuzi wa miziki ya zamani iwe ya tz,europe,carribean na congo! mpaka ya 50's!na jamaa anakuwa na data za kutosha juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.