Baada ya taarifa za kutekwa kwa mke wa UNDENIABLE, Heaven on earth
ni dhahiri kuwa hali ya usalama wa wanachit chat hairidhishi na nadhani ni muda muafaka wa kuanzisha kikosi chetu cha...
Nawasalimu wanaCC!
Kwa niaba ya wanamapinduzi wote napenda kuwasilisha taarifa hii ya kikao kilichofanyika juzi na jana usiku na mchana!
Kwa muda sasa wanacc mmekuwa mkishuhudia vurumai...
BOSS: Nasikia unatafuta kazi, kompyuta unajua?
MJAMAA: Sana tu mzee
BOSS: Unajua Microsoft Office?
MJAMAA: Msema kweli mpenzi wa Mungu, siijui
lakini mkinielekeza iko mtaa gani ntafika tu Mzee...
^^
Baada ya kutulia kwa muda mrefu,leo najitokeza mbele yako Baba V na wana Chit chat wote,,kutangaza rasmi nia ya kuishi na Queen Kan.
...
Tafadhali Queen Kan
Nakupenda sana amin
Busara...
Habari za usiku wanaCC....
Miss u mingi wapendwa, hope mko mwake mwake babaake!!
Dah, leo nimekumbuka majina ya utani enzi za utoto, hapa nitataja baadhi ya majina ya utani ya marafiki zangu...
Wasaalam
Habari za madakika wana cc najua wengine mnapumulia mashine kwa upepo mchafu uliopita muda sio mrefu!!
mimi kama mwana CC nasikitishwa na utendaji kazi wa mwenyekiti ,huyu Baba V...
Salaam wanaCC!
Kufuatia mapinduzi makali yaliyofanyika jana siku nzima hadi usiku wa manane chini ya uongozi wa Nivea, napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wanamapinduzi wote bila kusahau...
Mtu unapost threads ukijifanya mwanamke,ukianza kuchat naye inbox anakuambia "oya mwana mi dume ila natumia ID ya kike tu" au anaomba ushauri wa kike" wakati kapost anatafuta bwana au sijui...
ajali mbaya ya basi imetokea majira ya saa nne na nusu usiku wa leo katika eneo la ngarenaro darajani na kusababisha watu kadhaa kufa nwa wengine kujeruhiwa vibaya.
ajali hiyo ilihusisha magari...
jaman habarin za macku wana jf chit chat? Leo nadhan jukwaa hili limevamiwa na yule rude member krama!! Hahahaha, me nawapa cku chache mnitafutie mke mzuri!! La cvyo nadhan ndoa za watu humu...
Du nipo Arusha town viunga vya Makao Mapya hapa kuna bar maarufu sana inaitwa Picnic bar,asalalee hao wafanya kazi wake ni ma turbo ya nguvu sijawahi ona,na haya maturbo yapo mengi,yanaingia kwa...
Marriage is like public toilet.Those who are waiting outside are desperate to get in and those inside are desperate to come outside
******
boys and girls get into love b'se of misunderstanding...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.