JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
A pastor married uneducated jelous womam. 1 day the woman was in the kitchen cooking when she overhead him praying in the sitting room: Thank you Lord for bring Mercy, Glory, Joy & Grace into my...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Kujifanya mjuaji unaeza kujidhalilisha.
1 Reactions
5 Replies
787 Views
balaaa Madenti wa5 wa chuo kikuu kimoja hapa nchini walikuwa wanatakiwa wafanye mtihani siku inayofuata. Bahati mbaya wakanywa pombe mpaka mida mibaya na hivyo wasingeweza kufanya mtihani huo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Usije ukashangaa kusikia huu mlio hapo agosti mosi " MTUMIAJI WA SIMU UNAYEMPIGIA ANADAIWA KODI YA LINE, JARIBU BAADAE"! Maana kulipia buku * Airtel2, voda1, tigo1&TCL1 si mchezo!
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Mepishana na makaribisho ya kinafki ya waziri mmoja huko Jukwaa la Siasa, nikaona naweza kutoa maseruamba bure halafu ikawa noma mjengoni. Acha tuje kuliwazana huku mchafukoge kwa track la...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Pata pesa mkeo ajue tabia yako na filisika ujue tabia ya mkeo!
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Karibuni hapa kwenye ukurasa wetu wa wapenzi wa hii kitu kwa updates za kila siku za makulaji haya hapa mjini Darisalama na kwingineko...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Amani kwenu wanajamvi, natumai mu wazima na mnasonga vyema kwa uwezo wake Labana. Ni asubuhi tulivu siku ya jumamosi ya tarehe 06/07/2013 watu tumenyuka vyuti (ndio uwingi wa suti) vyetu na tai...
12 Reactions
236 Replies
11K Views
are the most handsome men in Africa!...i mean in the whole wide world!!!!!mweh! embu cheki
0 Reactions
67 Replies
10K Views
Daah...!!!! ungefanyaje....???? Mfano wewe ni dereva tax umepewa namba ya simu kumfuata mteja na wewe ukaenda kwa kuwa ndo kazi yako. Ile unafika unakuta mteja ni jamaa yuko na mkeo wakiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jaman msaada wana CC nataka mniambie huu nilio nao ni ugonjwa au ni hali ya kawaida,mimi mwenzenu nikiiona tu chupi ya msichana iwe imeanikwa au kavaa imechungulia aidha iwe barabarani,mtaani...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu wana jf binafsi nimeliona hili na nikaona hebu tujaribu kushare mawazo yetu. kuna jambo linashangaza ktk vituo vyetu vya tv hapa nchini, most of them matangazo yao wanayatoa kwa lugha ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hiko kipigo cha 4 bila huruma mlichotupiga walahi isingekuwa mwezi mtukufu tusingekubali,kura tungewaibia na virungu tungewakung'uta.Bahati yenu sana nyie mbwiga.Gambas oyeeee
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu ni zaidi ya wimbo wa kawaida, unazungumzia ufisadi na hatima ya Kenya ingawa kinachosemwa kinahusu pia hapa kwetu. Wazo la kufanya video na wananchi wote lilikuwa poa sana, na huyo model...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Jamani nimaamua nami kutangaza nia yangu ya kugombea uraisi!! Mimi sijawahi kuwa kiongozi hata wa nyumba kumi. Ushauri wenu ni kitu cha muhimu. Hata hivyo sijaoa,natafuta mke atakae kuwa first...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Salaam wanaCC kwa mara nyingine! Baada ya uongozi wa Baba V kupinduliwa rasmi chini ya mwanamapinduzi mahiri Nivea, kwa heshima na taadhima tunamwomba Madame B wakishirikiana na Mrembo by Nature...
5 Reactions
56 Replies
3K Views
0 Reactions
3 Replies
688 Views
Once upon a time........ A Child went to a shop with his mother. The shop keeper looked at the small cute child and showed him a bottle with sweets and said 'Dear Child.. You can take the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mrembo alipokea simu ngeni na mambo yalikuwa kama hivi: Simu: Hellow una boy friend? Mrembo: Ndio ninaye. Kwani we nani? Simu: Mimi baba yako. Kumbe unaboy friend ukirudi utanitambua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom