JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
karibuni tusherehekee ushindi wa madiwani Arusha. zipo kinana za kutosha tu hapa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nashangaa nimekutwa na hali hii ghafla,yaani nina nyege mpaka nahisi kuchanganyikiwa, nipo peke yangu kitandani! Naomba anayejua njia mbadala anisaidie pliz kwani mwezi wa pili toka mume wangu...
0 Reactions
26 Replies
15K Views
Let me say this, I'm the luckiest woman to be the wife of my Bishanga. He is the best husband and best father ever. Feel free to share if you think your husband is of special qualities like mine...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
ulevi nomaa mlevi mmoja alianguka nje ya geti la TBL msamaria mmoja akashauri wampe maji, mara mlevi akaropoka we mjinga nini? Ningetaka maji si ningeangukia geti la IDARA YA MAJI? jamaa na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Yaani best nipe pole mwenzako hapa nilipo sina hali nimepata ajari mbaya yaani nimeanguka kwenye mkeka hadi chini.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwalimu anauliza swali darasani; Mwl; ukiambiwa uchague kati ya fedha na akili unachagua kipi? Mwnfnz; fedha! Mwl; nilijua utajibu hivyo, wewe ni...
4 Reactions
12 Replies
4K Views
  • Closed
Wana chit chat habari... Nakuja kwa mwendo wa shoto-kulia (waliopitia jeshini enzi zetu wamenielewa hapo) kijeshi zaidi. Kwanza kabisa nimshukuru mwanasheria wangu ruttashoborwa aliyeniletea barua...
12 Reactions
379 Replies
16K Views
wakuu naomba kufahamu jinsi ya kutumia lotion ya after shave
0 Reactions
7 Replies
2K Views
umefika kwenye interview baada ya kukaa mende anatoka kwenye suti yako ya kuazima na kukaa kwenye bega interview panelist wakiwa wanashanga marara gafla mende anaenda kutua kwenye meza ya meneja...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
safi sana taifa staz mmejitahidi sana endeleeni hivyo hivyo kupiga chenga nyingi kuliko magoli hapo mnaonyesha kiasi gani mnatuludishia fadhira tuliotoa viingilio, mnapiga sana chenga ka brazil...
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Polic: yesterday i saw u at the maize shop (jana nlkuona dukan kwa muhindi) When u saw me u started 2 six six (uliponiona ulianza kusitasita) U ran and decided 2 plant a car (ulkimbia na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Rejea katika katiba ya chitchat ya 4/june/2013,1734hrs na kupitishwa na bunge la chitchat,kipengele namba 6.kinasema 'Wananchi wana uwezo wa kupiga VOTE OF NO CONFIDENCE kwa mwenyekiti wa...
0 Reactions
5 Replies
894 Views
hata uwe na kontena 10 za viatu lazima ulale peku!!!!!!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
When a new day begins, dare to smile gratefully. When there is darkness, dare to be the first to shine a light. When there is injustice, dare to be the first to condemn it. When something...
0 Reactions
1 Replies
617 Views
Ni kweli its my birthday just wish me luck buddy, it's my luck already as my hubby's birthday is in next week, remember last year niliwaomba ushauri wa kum-surprise? This year its celebration as...
6 Reactions
51 Replies
3K Views
Napenda kukumtakia mpenzi wangu lahazizi, asali yangu, mtamu wangu,honey ,sweetieee,darling, baby, kipenzi cha roho yangu,usingizi wangu,furaha yangu, my appetizer .umekuwa sehemu kubwa sana...
13 Reactions
176 Replies
22K Views
Mimi ni mfanyakazi mwajiriwa katika shirika moja la umoja wa mataifa. Nilikuwa naamini kuwa nikiwa line manager nitakuwa na furaha kubwa sana maishani mwangu. Mungu mkubwa nafasi ya line manager...
4 Reactions
139 Replies
26K Views
Habari zenu bandugu Nafurahi kuwa mko wazima wa afya njema na mnaendelea vyema nashughuli zenu, Leo nimeonelea niwaletee waimbaji watakao kuwepo katika Tamasha la Usiku wa Furaha wa KiCHITCHAT...
16 Reactions
255 Replies
16K Views
Unakutana na mtu anakuuliza.....hivi bado upo.....?.....swali gani hili.....kama nimekufa si ungesikia.......au labda kazoea kukuona mara nyingi unapokuwa na shughuli zako unapiga misele na...
9 Reactions
51 Replies
3K Views
Siku hizi matusi yamekuwa ni viunganishi, vivumishi na vihisishi katika Lugha ya kiswahili. Angalia sentensi hizi hapa chini: 1. Dah yaani we ni Mxx..nn..zz!! ile mbaya umeweza kuruka pale!!! 2...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Back
Top Bottom