CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Jamani nimaamua nami kutangaza nia yangu ya kugombea uraisi!!
Mimi sijawahi kuwa kiongozi hata wa nyumba kumi. Ushauri wenu ni kitu cha muhimu. Hata hivyo sijaoa,natafuta mke atakae kuwa first lady wa Jamhuri. Nimekuwa nampigia mbizi mara nyingi mama mmoja kwa jina Mamndenyi ila nahofia barua yangu ya maombi Baba V ambaye ni mwenyekiti wetu ataipotezea kutokana na utofauti wetu wa kisiasa. Tafadhali naomba muongozo na maneno yako Baba V ni ya msingi sana.
Nawasilisha.