Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Nakuambia nimejaribu kurusha jiwe kwa mbali kupitia mwenye kiti sijaona response nzuri, nikaona nitangaze nia ya kugombea uraisi hapo samaki ataingia kwenye ndoana mwenyewe.
Mamndenyi huwezi mtoa kwa Bishanga yaani pale ndio kafa kaoza we imbaweee ukimaliza usepe, usitegemee jibu zuri kwa huyo bibie
Last edited by a moderator: