Queen Kan,,nipe password ya moyo wako Baba V tupokee mezani kwako.

Queen Kan,,nipe password ya moyo wako Baba V tupokee mezani kwako.

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
5,534
Reaction score
4,193
^^
Baada ya kutulia kwa muda mrefu,leo najitokeza mbele yako Baba V na wana Chit chat wote,,kutangaza rasmi nia ya kuishi na Queen Kan.
...
Tafadhali Queen Kan
Nakupenda sana amin
Busara zako nathamin
Nikumbatie penzin
Nikinge tufe wawili
...
Password ya moyo
Naiomba toka kwako
Mwendo wa maringo
Hatua za hesabu hizo
Nitazificha kumoyo
...
Njoo tujikongoje
Sijui mbele kukoje
Wasikuhadae wa nje
Mungu nae atuzidishe
...
Wana CC Karibuni
Lady doctor besti
Heaven on earth
Rich woman UNDENIABLE Madame B Bishanga Arushaone Mrembo by Nature amu Mentor na wengine woteee nahitaji baraka zenu
^^
 
Last edited by a moderator:
Chukua baraka zote mkuu! ila kuna majanga yamenitokea mwenzio muda si mrefu!
 
umeshareport kwa kiongozi Baba V ? au wajikoga kwa utenzi usio na visa, ilhali vimbwenga, majanga na vimitimbi vinachomoza kwenye mwanga hafifu wa mbalamwezi, usikojua hata kukaangaa dagaa kwa futali la uarabuni? yako haya

Tayari Baba V nampa taarifa yake iko mezani.
^^
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom