Queen Kan,,nipe password ya moyo wako Baba V tupokee mezani kwako.

umeshareport kwa kiongozi Baba V ? au wajikoga kwa utenzi usio na visa, ilhali vimbwenga, majanga na vimitimbi vinachomoza kwenye mwanga hafifu wa mbalamwezi, usikojua hata kukaangaa dagaa kwa futali la uarabuni? yako haya

eti furaha pendoni mmhm! mie haya sisemi hapa ingieni kwenye nuru mtaona giza muda si mrefu

Heeee shindwa wewe! Waache watoto wa watu nao wale furaha ya dunia!
 
Nimekuja mpenzi, kuanzia leo nakufungulia moyo wangu uishi ndani yake, natokwa na machozi ya furaha kwa pendo lako!! nashndwa kuelezea mengi ila nakuomba usije sikiliza maneno ya watu kamwe. Nakupenda sana mpenzi Mungu atuongeze katika safari hii tuliyoianzisha!
 
aaarriiririririrriiiiiiiii...... Na wenye wivu wajinyonge meeeeen!!!!!!!!
 
Nimekuja mpenzi, kuanzia leo nakufungulia moyo wangu uishi ndani yake, natokwa na machozi ya furaha kwa pendo lako!! nashndwa kuelezea mengi ila nakuomba usije sikiliza maneno ya watu kamwe. Nakupenda sana mpenzi Mungu atuongeze katika safari hii tuliyoianzisha!

^^
Nimeupokea moyo wako,
Sitalipuuza pendo lako,
Najua hauna mfupa moyo,
Ukioza umeoza tulia ulipoo,
Nitakutunza milele isiwe sikitiko,
Malkia wangu pokea kumbatio,
Asante kunikumbalia ombi la moyo
..
cc Lady doctor & Baba V
^^
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom