Queen Kan,,nipe password ya moyo wako Baba V tupokee mezani kwako.

Queen Kan,,nipe password ya moyo wako Baba V tupokee mezani kwako.

aiseee yani leo ndio unarudi kweli Paloma kipofu kabisa

Kwani niliondoka mie..? Wewe Ruttashobolwa vipi..? Bahati yako nina furaha ya kupitiliza.. Ninakusamehe kwa kuwa tunafurahika wote..

my akanana dismynder1 huyo sosoliso unampa salamu wakati wamesha achana na Paloma.

Shemeji dismynder1 usimsikilize mai akanana wako huyu.. Furaha imemzidia ndo maana anatamka yote haya.. Mie na babe Paloma cha kututenganisha ni kifo tu..

wee loya embu acha umbea..................utaitwa Ruth sasa badala ya Rutta! Jiangalie sana!

Babe Paloma achana nae huyu Ruttashobolwa.. Furaha imemzidi mpaka anasema asiyoyajua.. Tufurahike nae katika kipindi hiki cha furaha..
 
Last edited by a moderator:

kila la kheri mweeeeh
ila nitamjulisha loya atakua
amechanganya habari tu!!
 
Back
Top Bottom