dismynder1
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 328
- 168
ndio mimi yule yule!!msalimieHalafu wewe kama ninakufahamu vile..
babe Paloma!!
Last edited by a moderator:
ndio mimi yule yule!!msalimieHalafu wewe kama ninakufahamu vile..
unashangaa nini?
naam..!
Hapana shaka zimefika salamu zako dear @dismynder.. Anakusalamia nae babe Paloma..
^^
Ukitaka ukichwamaji mi ni mwenyewe!! Tatizo mna consider CC relationships into serious relations,,endelea mbele ushitaki mpaka kwa mods ndio kazi yao! What a shit!! Nenda mbele binti,,ila usisahau Kauli njema yashinda mali.
^^
sina relationship na mtu yeyote katika hii jumba la cc na wala sitaki kuwa na ushirika/ umazoea na urafiki na mtu yeyote na hasa wewe, kwani haitanisaidia kitu kwahivyo sitaki uendelee kunifyolea hapa, ulimwalangani ugwe?
sina relationship na mtu yeyote katika hii jumba la CC na wala sitaki kuwa na ushirika/ umazoea na urafiki na mtu yeyote na hasa wewe, kwani haitanisaidia kitu kwahivyo sitaki uendelee kunifyolea hapa, ulimwalangani ugwe?
keta umbengie unndume gwangu ulo!! Simalike nungwe!
^^
asante sana binti.
Mungu awe nawe
^^
na awe pia nawe, naona unajitahidi sana kutafuta umaarufu kwa mgongo wangu endelea
^^
Teh teh teh teh
Mungu akusaidie maana hujitambui.
^^
^^
Teh teh teh teh
Mungu akusaidie maana hujitambui.
^^
what a shit??!!!!
samahani sana ila mwambie mumeo sitaki kufuatiliwa kama njuga au kunguru hapa na mambo ya kunifyolea ovyo wengine tunaheshima zetu haapa kwenye huu mjengo hivyo staha, heshima na utu ni kitu cha muhimu sana , sintopenda itokee hivyo namheshimu naye aniheshimu
​acha tu nimeamua kuchange my dear!!mh! Best tatizo nini mbona umekua hivyo mumy!?
​ok asante kwa salam mweeeeh!!Hapana shaka zimefika salamu zako dear @dismynder.. Anakusalamia nae babe Paloma..