Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
^^
Yaani Best,,acha tu kutengana kwao kumeniumiza basi tu!
^^
itabidi tutafute gundi ya kuunganisha hii mioyo iliyotengana
^^
Yaani Best,,acha tu kutengana kwao kumeniumiza basi tu!
^^
Nimekuja mpenzi, kuanzia leo nakufungulia moyo wangu uishi ndani yake, natokwa na machozi ya furaha kwa pendo lako!! nashndwa kuelezea mengi ila nakuomba usije sikiliza maneno ya watu kamwe. Nakupenda sana mpenzi Mungu atuongeze katika safari hii tuliyoianzisha!
Safi sana shem wangu wa ukweli! acha Himidini aishi ndani ya moyo wako, nakuhakikishia utafurahi wewe hadi akina ladyfurahia na Mrembo by Nature washangae! hongera sana shemeji!
Hongereni wote kwa kweli! Kila la kheri na safari yenu njema!

Nimeupokea moyo wako,
Sitalipuuza pendo lako,
Najua hauna mfupa moyo,
Ukioza umeoza tulia ulipoo,
Nitakutunza milele isiwe sikitiko,
Malkia wangu pokea kumbatio,
Asante kunikumbalia ombi la moyo
..
cc Lady doctor & Baba V
^^
^^
thanks Mkuu UNDENIABLE
Ngoja tujaribu maana kuna timu za watu humu kazi ni kuchonganisha wapendanao.
^^
^^
Hapo karibu mno,,angeniona ningehamia intellijensia nikapige stori na mtikila juu ya rwanda na mipaka yetu!
Loo! Thank God nimekubaliwa
^^
^^
Kumbe na wewe unawajua etiii!
^^
^^
teh teh kama kuna jukwaa ambalo nisingejulikana ni hiloo!
Loo,,JF raha sana vichaka vingi.
^^
hahahaaa...... Ungejulikana tu si unawapokea kwa ngonjera na mashairi wangefurahijee!!??
^^
thanks Mkuu UNDENIABLE
Ngoja tujaribu maana kuna timu za watu humu kazi ni kuchonganisha wapendanao.
^^
Na mashairi! Juu! Lazima umpate!!