kwa wale walio soma Kiluvya secondary tukutane hapa ili kujuzana yale yaliyo wahi kutokea enzi upo Kiluvya secondary na ni kitu gani ambacho unakikumbuka kutoka KVSS na mwaka ambao ulisoma hapo...
Wadau,
Yaani nimepata mtoto mmojaa wa kachanganya damu . Ni mzuri balaa halafu papuchii ni mnato kwelli. Tatizo huyu mchepuko wangu anapenda kula ugali wa dona hata sahani tatu.Imagine juzi...
Sera ya mapenzi kwa vipindi tofauti
MIAKA YA 1986--1990
hapa utaambiwa ...Nimekubali ila usimwambie mtu
MIAKA YA 1991--1995
Hapa utaambiwa nimekubali ila namwogopa baba na mama watajua ...
Ujue kuna ID nyingine ukiziangalia unajisikia kucheka unaweza kujiuliza huyo mwenye ID alikosa ID wakati wa kuchagua au Mimi kuna ID tatu zinazo ni staajabisha nazo ni kakajambazi , kakajambaz JR...
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA
TAHADHARI DHIDI YA UHALIFU UNAOFANYWA KUTUMIA SIMU ZA MKONONI
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa kuzingatia kifungu 5 (b) na (e) cha...
Yule mtaalamu wa Enzi zile aloimba "Ni thithi baba dhao, pia mama dhao tulio hapa" ametoka na kitu kingine kipya na cha viwango. Anasema Kinyongo Kihuja, nicho chela mbeu"
Wewe sikiliza mwenyewe...
Mamboz wana cc.........
mmh ngoja niwaambie yalonikuta maana nimejikuta nakutana Live na member mwenzangu bila kutarajia
mie ni mtu wa JF sana hata ofisini huwa wananiita mama wa JF sasa jana...
teh teh teh. Acha kudanganya watu kua wewe matawi ya juuuuu. Acha kututongoza mabinti kwa njia ya kua utatuoa imepitwa na wakati. Acha kuazima usafiri kwa ajili ya kujipaisha.
Kwa wale wapenzi wote kuna ofa ya kwenda kukwea mlima Kilimanjaro
kwa wale watakaobahatika kwenda ajitahidini mpande mpaka kileleni ni sifa na raha mno kufika kule juu kabisa si kila mmoja...
Kwetu sisi watoto wa wakulima tukisema, tunaambiwa tunatafuta umaarufu. Lakini kwa Familia Bora, ya Mboga saba, ambao ndio watakaoongoza tangaznia hati Yesu Arudi, Familia ya Yusuf Makamba na...
Wakuu,
Kama kuna mtu umepotezana naye na huna njia yoyote ya mawasiliano,hebu mtaje jina,kama yupo JF labda ukimtaja kwa jina halisi anaweza akaku-PM,pia unapomtaja jina inasaidia wengine...
Nilidhani ID yangu ndio yakipee sana JF Tapaiko Namkeho kumbe nilikuwa nakosea kuna huyu mwamba III II II II II, hebu jaribuni kulitamka halafu mtuandikie hapa. Kwangu mimi hii ndiyo ID ya ajabu...
Kama umetembelea kidogo mikoa mbalimbali utagundua hili
Makambako kubwa kuliko Njombe
Kaliua kubwa kuliko Tabora
Mafinga kubwa kuliko Iringa
Kahama kubwa kuliko Shinyanga
Tunduma kubwa kuliko...