Nikiwa kama mratibu wa shindano la kusaka ni couple ipi bora na mfano wakuigwa naomba kutangaza rasmi walioshinda.!
Hapakuwa na katiba ilonizuia kushiriki shindano kwa kuwa ni Mratibu hivyo na...
Kwanini sisi matajiri tunafanana saana
Ukiona mimi utakuwa kama umeona Bill gate
Ukiona Alon mask Utakuwa Kama umeona Mimi
Yaani sura zetu zinafanana saana matajiri wote sura zetu zinafanana
Ninachukizwa na nawachukia watu wote wanaotumia tecno,infinix na itel yaani kwangu mie nawaona ni wahujumu uchumi wa nchi yetu yaani inakuaje mtu anatumia au watu wanatumia tecno,infinix au...
Wanaume wembamba kweli tunakazi yaani kutafta mpenzi huku unakamwili cha ukondefu utasota sanaa balaa nipale ukute unauwembamba wakurithi yaan unapiga mayai maziwa kiti moto lakin wapiii (dahh)...
Uvivu na Kupenda kula Bata unawaponza. Mliitaka iwe Alhamisi ya leo ili Siku za Kula Bata ziwe Nne ( Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili )
Mlivyoona Kimahesabu kula Eid Alhamisi ( yaani Leo )...
Wherever there is interaction, attraction is bound to happen. Kuna watu humu wamepata flings, spouses, wengine got married and some ended up being catfished. All is life.
So lets say someone...
Wakuu, kufulia kusikie tu kwa jirani aisee. Hapa nilipo nimefulia kiasi kwamba nimebaki na elfu 4 tu iko kwenye m-pesa. Sasa nataka kwenda kwa wakala kuitoa lakini naona aibu wakuu.
Hellow Africans,
Mimi siyo mchoyo bhana, leo nataka nimtoe mtu out yeyote twende Wavuvi Kemp pale tukanyweee mpaka uchoke wewe. Muhimu uwe na vibe, usiwe mpolee kama msabato no, pale ni kwenda...
Herode
Farao
Pilato
Nebucadreza
Etc...
Ongezea na wewe majina ambayo watu hawapendi kuwaita watoto wao........
Wasalaam
๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Wakuu,
Kwanza nilishtuka, na kisha nikajitafakari kidogo then nikaona nikinyamaza itakuwa njema. Nimuite dada, mama, binti ambae ni mwenyeji wa kitambo mbali hapa kwetu.
Ghafla bila hiyana...
Mwaka jana mwezi wa nane baba aliniita nyumbani akaniomba nimununulie chupa kwaajili ya kuwekea chai (japo ilikuwepo).
Pia akaniomba kabla ya kuondoka nimununulie redio, alifurahi sana kufanya...
Jana nilikuwa Mikocheni Shoppaz Plaza nafanya shopping kama ya elfu 60 na hivi, sasa vitu vyangu vilikuwa vingi kidogo na wakati naenda kulipia nyuma yangu kulikuwa na Mzungu ambae alikuwa...
Muombe hela tu mwanaume akikutongoza wewe umtaki muombe hela tu akikutumia uyo kweli anakupenda nakuganda ๐ค๐ค๐ค napenda pesa jaman ukija kwangu unatakiwa uwe mvumilivu na kibunda pia