Yale mashindano ya kumtafuta Miss Chitchat 2012 ndio hayo yameanza rasmi.
Pasipo kupoteza muda wako, hakikisha kura yako inaenda kwa charminglady
WanaJF marafiki wa familia ya watu8 na...
Yaani kila siku ni kuhoji kwanini huyu anakula bia kila siku jioni na hujui kazi yake.
Hata kama hana kazi alishakuibia?
Alishakuja kukuomba bia?
Alishakuja kukuomba chakula?
Balimi buku jero...
Wasalaam wana JF
Unakuta mwanaume alikuwa na mke na wanaishi pamoja pika pakua. Ikatokea kuhitilafiana na wakachukua maamuzi ya kutalikiana kila mtu aende kumi zake. Baada ya kila mmoja kusukuma...
Duuuuuuuh
SHERIA 13 ZA BOLI WAKATI TUKIWA WATOTO.
1. dogo mnene lazima awe Golikipa
2. Mwenye mpira ataamua nani acheze na nani asicheze.
3. Penati itatokea tu pale mchezaji akiumia sana na...
1. Maji ya Mochwari ( hasa yatokee Temeke Hospital au Amana ) tu
2. Mchanga na Nyasi kidogo kutoka Kigamboni Avic Town au Jangwani Mafurikoni
3. Jezi ya Klabu Kubwa duniani ila iwe ni ama Njano...
Mo mp5 once again, Hope wazima familia ya JF.
Binafsi simu yangu napenda kuweka vibration,sababu sipendi kelele na ni mvivu Sana kupokeaga simu.
Kuna Ringtone zingine ziko vizuri Kama za...
Dolly Parton - Coat Of Many Colors.
Back through the years I go wanderin' once again
Back to the seasons of my youth
I recall a box of rags that someone gave us
And how my momma put the rags to...
You can't start to be rich if you tagert money from rich people.
To be rich target money from poor people.
Poor people offer big market and demand.
Because poor people are MANY and always are...
Ni mwaka mwingine tena umepita tangu mimi na my lovely wife, kipenzi cha roho yangu, nyongo mkalia ini, Mrs marejesho Filipo tulipoamua kujiunga hapa! Tumeendelea kuwa na maisha ya furaha...
Kama una ujumbe, taarifa au salam niachie Wakuperuzi hapa, zitafika kwa muhusika na kwa wakati.
Kurahisisha mambo, maana najua mambo ni mengi wakuu, hamuwezi kushinda humu muda wote ila binafsi...