JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimetoka jela muda si mrefu wapendwa, naenda kuoga then nakuja jamvini.Stay tuned..!!
5 Reactions
153 Replies
6K Views
It's a new year ! What an excitin time for everyone! A fresh start , a new perspective but most of all an apportunity to begin again . I lav this time of year for many reasons, but most...
11 Reactions
110 Replies
6K Views
Hv Tanesco kukata umeme na kurudisha muda wanaotaka hv watanzania nisaidieni hawajali hata ni hasara gani tunaigia kwa kukosa umeme
0 Reactions
2 Replies
782 Views
Hebu ngoja nifurahishe nafsi kabla sijalala mie maana mama Ngina keshalala zamaani.........!
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Nauliza, hili jina BONGO linasimamia Tanzania yote ama ni Dar tu....? PLZ BEAR WITH ME IM NOT FROM TZ..!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Binti: Mama nina mimba.. Mama: Shenzi kabisa! Haya imekuaje na tokea lini? Binti: Bahat mbaya ni ajali tu! Mama: Pumbav zako, unataka kusema ulikuwa unatembea tu barabaran ndo ukateleza ukaangukia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
BABA: "Tano ongeza kumi ni ngapi?"MTOTO: "Sijui"BABA: "Aaah we -----, kwanini hujui hesabu rahisi ka hio!!"MTOTO: "Baba ukiona noti ya elfu 1 na mia 5 utaokota ipi?"BABA: "Nitaokota ya elfu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Baada ya msako wa polisi walimkamata chizi bila kujua, alipofikishwa kituoni yule chizi alicheka sn alipoona picha ya KIKWETE na NYERERE! Walipomuuliza anacheka nini akajibu kweli msako wa leo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wana JF wa Arusha natarajia kuwa huko Kesho jioni na kesho kutwa........i wish ningemuona japo mwana JF mmoja
4 Reactions
70 Replies
5K Views
Wabongo bwana, eti siku hizi kama mtindo wa kuomba namba ya simu umeisha flani hivi...kila mtu utakayekutana nae anakuomba BBM Pin, eheeeee msinifanyie hivyo jamani sio kila mtu ana Blackberry...
6 Reactions
176 Replies
10K Views
Preta.....
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Hello Player, I am Agent BISHOP Joh(c/o Scottish Football Association ), A soccer scout based in England. I am presently recruiting players for clubs in the England,Scotland soccer team, clubs and...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Hiki ni chama kipya kabisa kinachopokea mabachela wote JF... Tukiwa na mitazamo tofauti na kile cha Baba V ... Huku ni burudani... Yaani stress free.... Watu kama charminglady , stevoh na C6...
8 Reactions
667 Replies
26K Views
Kama hujalala naomba unigongee like tafadhali...:sleepy:
5 Reactions
64 Replies
3K Views
Nipo hapa ofisini gafla nikaona watu wanakimbilia madirishani na mie si nikaungana nao looh jamaa walikuwa wanapiga mambo yetu yale juu ya gorofa lililopo keep left ya askari panaitwa spot lounge...
0 Reactions
24 Replies
19K Views
Wapi mpo leo? Mtambuzi mzee wa mawhisk watu tuna kiu!
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mwalimu wa historia alikuwa darasani na kuwauliza wanafunzi MWALIMU; Eeeeehe! Ni nani alimuua chifu mkwawa? MWANAFUNZI; Aku sio mimi! MWANAFUNZI 2; wallah! Sihusiki! MWANAFUNZI3; kwanza mimi...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa? >Mshahara Tsh 600,000/= kwa mwezi. >Mda wa kazi kuingia saa 2.30 asubuhi hadi saa 10 jioni. ... >Allowance 300,000/= kwa mwezi. >Siku za kazi jumatatu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siku moja jamaa mmoja alienda kununua viagra ( dawa za kuongeza nguvu za kiumea) kwenye duka fulani la madawa, bac kulikuwa na docta pale akampa dawa flani na akamwambia ile dawa angeweza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
NIMEIKUTA HII HUKO FACEBOOK IKIWA IMETOLEWA NA WAKENYA: Uuuuwi sijawapa uhondo,ndo natoka church ustake ona vioja ilikuwa church leo.. My pastor alikuwa na woman congregation and he made these...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom