JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
haya wale Ilula, Ipogoro, kibwabwa mseke tosa mpaka Tanangozi wahi tiketi yako mapema, usisahau kubeba na luleenga, basi halitasimama njian.
0 Reactions
30 Replies
3K Views
07 February ni siku adhimu na nyeti, kwa Bibie huyu Mlimbwende, Mpole , Mkarimu , aliejaa upendo na kila member. Aidha mithili yake kwa century hii wapo too scarcity! Lau kama wapo wa...
11 Reactions
113 Replies
6K Views
Ukichelewa utapata namba za aibu, Mfano T287 UKE, T649 UCHI T810 TIA T734 VUZ T952 SEX T567MBO T564 CCM N.k
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamaa mmoja Mkazi wa Tabata alikuwa anapanda kitandani alale ,mara mkewe akamwambia kua ameacha taa inawaka Bafuni, jamaa akaamka akawa anaenda kuzima Taa ....alipo fika Bafuni akacheki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mchungaji mmoja katika mahubiri yake huwa anachangamsha sana waumini wake,kwa mfano utakuta katikati ya mahubiri utasikia "..Muambie jirani yako..Yesu anakupenda!" basi kwa furaha na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Maisha ya ndoa iliyo jawa na amani ni matamu na yenye furaha sana katika siku zote za maisha ya binadamu hapa duniani. Mfano wa familia kama iliyopo kwenye picha hapo chini, nani asie penda...
6 Reactions
281 Replies
15K Views
ndugu zangu me nna shida leo na(MKE WA MTU) maana hawa panya wanavyonisumbua hapa home,Eti naskia mke wa mtu ni SUMU!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kipima joto ITV kinauliza: "Kukithiri kwa tatizo la Rushwa, Je kuanzishwa kwa Mahakama ya "TAKUKURU" kutasaidia?!" Hivi Waandaaji wa hivi vipima joto ITV wanafikiri za kisomi? Wameshindwa kujua...
0 Reactions
4 Replies
899 Views
Nisaidie kujibu hy maswali: 1.Km elimu ni ufunguo wa maisha kitasa chake ni kipi? 2.km majuto ni mjukuu baba yake ni nani? 3.Aliye juu mngoje chini atakae...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni kauli iliyotolewa na mwizi baada ya kuiba wallet ya polisi na kukuta yafuatayo:- 1.Majina ya vibaka 2.majina ya mafail aliyonayo. 3.majina ya watoto waliobakwa 4.majina ya watu/mama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari njema kutoka Airtel,kuanzia tarehe 10 Feb kifurushi cha 400MB kitakuwa 500MB kwa sh 3500 tu kitakachotumia kwa siku 10.Furahia kuperuzi na Airtel. Mind you huduma hii ilikuwa inatolewa...
0 Reactions
8 Replies
930 Views
Naomba kuuliza ki2 hivi wale waganga wenye TV ASILI nao wanahitaji king'amuzi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF, Kwa niaba ya Bishanga, The secretary , Mr Rocky na bibie Amyner napenda kuwakaribisha kwenye hii Pub & Restaurant yetu mpya ambayo inawapa fursa kuja kupata vinywaji mbali mbali ukiwa na...
34 Reactions
652 Replies
32K Views
No English dictionary has been able to explain the difference between this two words: COMPLETE and FINISHED. Some people say there's no difference between two words but there is! When you marry...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
....mAmbo yakiwa mengi hata humu hatuonekani...lakini nawakumbuka sana..hasa my arabela....i miss yu sana... wengine woteeeeeeeee.... ...Usiku mwemaaaaaaaaaaa.....
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Paloma chop my money cacico chop my money Madame B chop my money amu chop my money nivea chop my money Arabela chop my money ........because i don't care....i don't care. Copy...
9 Reactions
113 Replies
6K Views
Mlevi mmoja aliingia pharmacy na kusema "tafadhali nipatie condom" Mhudumu akabwatuka na kusema "Kaka mbona huna heshima? si uagize kwa lugha nzuri?" Jamaa akaona isiwe taabu, akafungua zip na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kisa kimetokea kwetu huku pande za uswazi. Mzee kitemba amtunza binti yake mwanaheri ili aolewe akiwa bikira. Yaani mzee mnoko kinoma.Sasa juzi kati mzee kama kawaida jioni akaenda masjidi. Kijana...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Tabia za watu kugombania siti kwenye daladala, leo ime mtokea mtu puani, baada ya mtu kushuka katika gari, ndipo kijana mmoja akanisukuma pembeni aiwai ile siti, kitendo cha yeye tu kutaka kukaa...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
natafuta friends wakuchat nao....
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom