1. 'Mtakula nyasi ndege ya rais inunuliwe' - Mramba.
2. 'Foleni Dar ni ishara ya maisha bora' - JK.
3. 'Acheni wivu wa kike' Mkapa.
4. 'Asiyeweza kulipa nauli kwenye kivuko apige mbizi' Magufuli...
Ni utamaduni wetu kupiga hodi pia kuaga wakati wa kuondoka...Dah, natamani sana kuendelea kuwepo CC na JF kwa ujumla. Lakini majukumu yameniandama, lazima nisepe kwa muda... Nitawamiss sana ndugu...
Jamaa alitaka kuonesha anajua kidhungu "yestaday I saw u at ze maize shop..(Jana nilikuona dukani kwa muhindi) when u saw me u started 2 six six (uliponiona ulianza kusitasita) u ran away n decide...
kinyozi alihamisha ofisi kutoka ghorofani na kuja chini
akaweka tangazo;
kinyozi aliekua ananyoa juu sasa ananyoa chini,
mara wateja wakamkimbia, sasa kosa lake nini?
Mc: sasa nawapa sifa kubwa ya bi harusi..
Tangu namfahamu yeye huwa havai nguo za ndani..
. . . . Watu wote ukumbini wakaduwaa, macho yakamtoka bwana harusi, bi harus akaanza kutetemeka..
Mc...
KInyozi mmoja alikuwa na salun katika ghorofa ya juu,
aliamua kuhamia chini akaweka tangazo hili
"KINYOZI ALIYEKUWA ANANYOA JUU SASA ANANYOA CHINI".
Wateja wote wakamkimbia.
kuna masai mmoja alikuwa nje ya mlango wa kanisa amekaa wakati ibada inaendelea mara mchungaji akapita mlangoni akamuona akamuuliza YERO mbona uko nje
MASAI; unasani mi ni mjinga nimesikia...
1.Unamnunulia mke wako SIMU mwanaume mwenzako anamnunulia VOCHA, Huo ni mgawanyo wa majukumu
2.Unamlipia mke wako ADA ya Chuo, mwanaume mwenzako anamlipia kodi HOSTEL, Huo ni mwingiliano wa...
Yaani tabia zao kama watu, hasa kipindi hiki cha
mvua na ubaridi utakuta wanarandaranda mitaani
wakifukuzana mitaani na kufanya vitendo
vya kuongeza uzao wao.
Utakuta wanatoka kwa wanaowafuga...
Kwa wale mnaowaita wenzenu jembe nawashauri muache maana huu msemo kwangu nauchukulia kama tusi
Hebu jaribuni kufikiria jembe liko je au lina sifa gani.
Msikubali jamani kuitwa jembe mtu...
sina haja ya kuleta mada hii kiuchonganishi... laa ila ninataka kujuzwa jambo...nina jamaa yangu mpemba hapa amenipa mpya kwa kusema ukitaka kumugundua mzenji basi muangalie kisogoni. Anasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.