JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
helloooooow JF Chit-chatters!!! Heshima kwenu nyote! Kwa heshima na taadhima napenda kuchukua fursa hii kuwaSHUKURUNI nyote kwa dhati kabisa ya moyo wangu kwa kushehereka nami kutimiza miaka...
18 Reactions
137 Replies
41K Views
Wapendwa wana chit chat ni dhahiri kwamba wote tumekuwa mashuhuda wa kilichokuwa kikiendelea katika iliyokuwa ndoa ya loya Ruttashobolwa na Madame B huku kwa upande mwingine ikimuhusisha...
2 Reactions
91 Replies
5K Views
Ni hayo tu wale mnaonitag.
2 Reactions
60 Replies
3K Views
Kuna Kampuni moja ilimuajiri mlinzi kipofu.Mashariti ya kupita katika geti la Kampuni ni lazima uwe kipara. Unapotaka kupita yule mlinzi anakupapasa kichwa ILI KUHAKIKISHA KWAMBA WEWE NI...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ilikuwa ni katika sherehe za Birthday ya Paloma, pale ambapo wadau wawili (Majina yanahifadhiwa) walipopishana lugha, haijulikani chanzo ni nini, lakini taarifa zisizothibitishwa zinadai kwamba...
5 Reactions
78 Replies
5K Views
Wadau wa Chit-Chat nikwamba mja(Mora) kaniona nimeweza kuunganishwa na amu, baada ya nivea kuwa mtoro katika sherehe tunazoalikwa siku ya kuwambia mtajulishwa ila kama kuna mwenye pingamizi...
7 Reactions
92 Replies
5K Views
Habari wakuu , siku moja mfalme aliwaalika wanakijiji kuja kwake kwa ajili yakuwapa changamoto ili aweze kumwoza mtu atakaye vuka bwawa la mamba mpaka upande wa pili na kumpa bint yake kipenzi ...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
I am a 11 letter city. Last 6 leter is fruit name.. 7,8,3 is a bird name. 6,7,5,3 is a part of a face. 1,8,3 is use for studnt . 9,5,3 is a soap name
8 Reactions
27 Replies
6K Views
In most homes, children are more scared of their fathers than mothers. They respect alot the father's words more than the mothers, When a father barks it is a different story from when a mother...
0 Reactions
12 Replies
908 Views
kupunguza umbea humu cc naomba Invisible aweke kinotification endapo mtu atakumention huko pm unapata notification kwamba flani na flani have mentioned you in zeiya pm ,ili uwawashie moto...
7 Reactions
116 Replies
5K Views
Habri wana CC, baada ya uchunguzi wangu mdogo nimegundua kumbe lile Tangazo ni kweli alikuwa mzee wetu hapa almaarufu Bishanga, siku zote twaiona avatar yake hana shati sasa ameamua kwenda kununua...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Two little boys, ages 8 and 10, are excessively mischievous. They are always getting into trouble and their parents know if any mischief occurs in their town, the two boys are probably involved...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu nilikuwa nikifanya utafiti wa watu hawa na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuona namna wanavyoendesha shughuli zao na utajiri wao,karibu. Name; Bishanga...
16 Reactions
223 Replies
12K Views
Jamaa fulani alimuita dem bar kiroho safi dem akaitikia wito alipofka akamuuliza "umeniita hapa ila sijui una shida gani" jamaa nae akamjibu "nataka kukutongoza ila nasubiri mpaka ulewe"...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Tangazo la Party kama lilivyobuniwa na watu8 Paloma mwenyewe kama mnavyomuona amu akiwa kwenye pozi Madame B akim hug Paloma................ Zion Daughter alikuwa ndiye fundi mitambo...
7 Reactions
39 Replies
8K Views
Wana ChitChat, Katika thread yake ya tahadhari Invisible amesema kuwa kuna watu hapa Chitchat huwa wanajigamba kuwa wao ni moderators kwa kupiga mikwara ya kufa mtu kupitia PM na kuwapigia simu...
11 Reactions
28 Replies
2K Views
Mlevi mmoja aliingia kwenye daladala na kukaa siti ya mbele na kuweka begi kwenye siti kulia kwake, kisha akalala, punde mlevi mwingine akaingia na kutoa lile begi kisha akakaa naye...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
There are currently 7272 users online. 1155 members and 6117 guests Most users ever online was 10,588, 13th July 2011 at 21:34. JF Balaaa umbe tunaweza kufanya mengi..Kwa Hivi tu......
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Back
Top Bottom