Birthday ya Paloma picha na matukio pale Leo Tupo Hapa Pub......!

Birthday ya Paloma picha na matukio pale Leo Tupo Hapa Pub......!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
997_saturday_lets_party.gif


Tangazo la Party kama lilivyobuniwa na watu8

1005022452.jpg


Paloma mwenyewe kama mnavyomuona

daria-burke-mba-women-facebook.jpg


amu
akiwa kwenye pozi

DSC_02402.jpg


Madame B
akim hug Paloma................
haterade.jpg


Zion Daughter
alikuwa ndiye fundi mitambo akirusha matangazo ya Birthday Party live...

DSC_06171.jpg


Wadau wa chit chat, hapo mnamuona Madame B, kipaji halisi, Superman, Asprin, Zion Daughter, Chachu Ombara, Mtambuzi, noahsim, amu, Jeska, Kaizer, Paloma, Ruttashobolwa na Bujibuji

lwsm_11-black-bride-dancing_6201.jpg


Hapa ilikuwa ni wakati wa ku dance tulipoenda club baada ya Party, kama mnavyooona


 
Back
Top Bottom