Birthday ya Paloma picha na matukio pale Leo Tupo Hapa Pub......!

Birthday ya Paloma picha na matukio pale Leo Tupo Hapa Pub......!

hongereni wadau kwa kudumisha udugu coz undugu si kufanana bali kufaana,pongezi za dhati kwa Paloma kwa kuwaleta watu pamoja coz ungeingia mitini sijui ingekuaje,big up kwa sherehe manager Mtambuzi kwa kuboresha mipangilio.
 
lwsm_11-black-bride-dancing_6201.jpg

Naona hapa strawberry lips ilifanya kazi kweli
 
Back
Top Bottom