Tihi tihi hihiii..Basi mie ntakupa pasiwedi unisaidie kuzifuta...Fimbo la mbali haiui nyoka...hata PM zikijaa si wazifuta tu, acha wananchi waukubali uumbaji wa aliye juu bhanaa! teh!
..zanzibar Zamani KempskyNipo poa bebii......valentine unanipeleka wapi....
Tihi tihi hihiii..Basi mie ntakupa pasiwedi unisaidie kuzifuta...
..zanzibar Zamani Kempsky
Uoga muhimu watu8 .Kunguru mwoga huwa anaishi maisha marefu
...orait ...ucjari ngoja niangale ukanda wa pwani kuna hotel gani...Mmmhhh.....sitaki huko......hakuna sehemu nyingine maeneo ya Mombasa......?
Huyo Miss mwenye nguo nyeupe ni nani?
aongeze lishe kidogo atadondoka
Nipo tu navuta hewa ya bure alotuzawadia muumba! Habari yako?Upo wewe...??
Mdada ulikuwa wapi tena ....???
Nipo tu navuta hewa ya bure alotuzawadia muumba! Habari yako?