Dereva mmoja baada ya kuua watu 25 kwa ajali ya gari,alikamatwa na Traffic na mahojiano yakawa kama ifuatavyo: Traffic: Wewe ni dereva gan?umepitia kwel driving school, Dereva:Ndio...
Dada mmoja alikuwa bafuni akioga,mara akasikia hodi ikipigwa mlangoni,akajibu karibu huku akijisetiri kwa taulo na kanga ili akampokee mgeni.Alipofungua mlango,akakutana uso kwa uso na kijana...
Leo hii pale viunga vya Mwanayamala 'A' adjacent na ilipo shule ya msingi Mwanayamala Kisiwani katika kijiwe cha Mjeda maarufu kwa jina la LEO TUPO HAPA PUB wana CHIT CHAT tunakutana pale kuungana...
Jambo jambo nyote...wazo langu ni hili kwa nini vjana wengi wa kitanzania hawataki kuoa? Ikiwa wana kila vigezo vyote...ikiwa ni pamoja na kujitosheleza kimaisha?...eeee najua nimewagusa...
Wapendwa ni aje...!! ujio huwa ni wa mawazo na kuwazua, kupimia upepo na kuchukua hatua stahiki, usiende kichwakichwa yakakufika ya kukufika ati,,, katika kupitiapitia jukwaani hapa nimebaini...
Jamaa anamatatizo kaingia kwa daktari
JAMAA=dokta ninatatizo huku chini
DOKTA=hebu vua tone
JAMAA=navua ila usunicheke ,plz dkt
usinicheke
DOKTA=usijali mimi hii ndo kazi yangu siwezi
kumcheka...
Wajamen usingizi hauna bausa, tutaendelea na michakato kesho kwa maja'aliwa ya mwenyezi. Kwa wale wenye 9t shift na zile shughuli nyingine za usiku nawatakia kila la kheri kuifanya JF active...
Niliingia mzima mzima , nikajiamini, nikaona unatoka familia bora yenye malezi ya wazazi wanaojitambua ,
kumbe ckujua ni chui uliyejivika ngozi ya kondoo, nilishauriwa humu nikajifanya kichwa...
Kuna majambazi walifanikiwa kuingia Bank na kuiba Pesa nyiingi,na kufanikiwa kutoroka, wakafika sehemu wakaanza kuzihesabu, hadi wakachoka kuhesabu! Mmoja akawambia"Oyaa mi nimechoka,tusubiri...
MTU mmoja alifariki na kwenda
jehanamu. Kufika huko akakuta
kuna jehanamu tofauti tofauti
kwa kila nchi. Akaamua
kuzunguka zunguka ili aweze
kuipata jehanamu yenye maumivu
kidogo zaidi...
Hebu tu fikiria kuwa bado hujazaliwa,halafu unayashuhudia yote yanayotokea hapa duniani.Kisha ukaulizwa,uzaliwe au ubaki hukohuko.
'
Utakubali uzaliwe?
Nikichoka huwa sipendi kabisa kelele ndo maana kuna muda nasikiliza empty cd!
Na nikichoka sana nasoma plain papers, pia nalala huku nimesimama kuepuka kelele za godoro pale ninapo jigeuza,na...
MUME: Aise tafadhali salimiana na mke wangu Fulo
JONI: Dah kumbe huyu ndie mkeo, namfahamu sana
MUME: He umemfahamia wapi tena jamani?
JONI: Fulo na mimi tulishwahi kulala wote si tukakamatwa...
Utangulizi.
Nitakayoyaandika hapa yanatokana na social involvement yangu kwenye jamii hizi. Isije watu hapa wakaanza kuniuliza hypothesis yangu ilikuwaje? Sampling and the like. Makundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.