JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mara ya mwisho kumuona ni ktk jukwaa la Ajira!akifurahia na kushanglia kupata kazi Utumishi wa umma!amekauka sana jukwaani!yawezekana ni majukumu ya kitaifa!lakini pitiapitia hata huku!dah kweli...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Watu wakaanza kujitambulisha (1).Mimi naitwa John niko UDOM mwaka wa pili nasoma LAW. (2).Naitwa Stella,niko UDSM mwaka wa 3 public relation. (3).Naitwa Adella,niko Tanesco mwaka wa 4 nasoma mita.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukishindwa hili,basi kichwa kinakulemea bure ila hamna chochote cha maana kichwani! Ni katika muktadha(situation) au mazingira ambapo 2x3 si sawa na 3x2
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Leo nimestaajabu sana ikabidi nicheke mwenyewe ,kuna rafiki yangu humu JF anafahamika kama Shardcole .Huyu bwana ameshawahi kugonga like 1 tu kati ya like zaidi ya 800 alizozipata kutoka kwa wana...
2 Reactions
106 Replies
4K Views
Upo wapi mida hii mwana chit chat . . . Me nipo kwa party nakula vituz vya moto na baridi, lol
0 Reactions
24 Replies
2K Views
  • Closed
  • Poll Poll
Wasalam, Ni mara nyingine tena kama ilivyokuwa inasubiliwa sasa ndio imetimia. Kwanza niwaombe radhi kwa kutokufanya mashindano ya mwezi Dec 2012, hii ilitokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya...
27 Reactions
716 Replies
33K Views
...Katiba mpya iruhusu Mods nao wapigwe Ban na hata life Ban pale inapobidi. ...Katiba mpya ikataze Ku-bip na iweke wazi adhabu zitakazomkabili Mbipuji yeyote Yule. ...Katiba mpya ipige...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Mzungu alifiwa na mbwa wake, akaamua kumpeleka kanisan aombewe, Padri wa kichaga alimfokea kwa hasira Hapa hatuombei mbwa toa mbwa wako hapa haraka! Bas yule mzungu akamwomba amuelekeze kanisa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Juzi juzi niliona kwenye habari ya kijiji kinachoitwa Ki-nyeto katika mkoa wa Singida halafu nikakumbuka kuwa kuna thread fulani humu inayozungumzia shule ya msingi Senge ya huko huko Singida...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hi JF, kuna mzigo mdogo nataka kutuma sumbawanga kwa kutumia bus la sumry nipeni mwongozo jinsi ya kufanya na je wanaaminika wale watu wa ofisini mwao ubungo?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wana ChitChat, Matokeo ya awali ya Wachaga walioenda kwao kuhesabiwa yameanza kutolewa. Habari za ambazo zimetua kwenye dawati langu hivi punde na kudhibitishwa zinasema kuwa hadi hivi sasa...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni 1% tu ya wanawake wote duniani wameshawahi ku experience hii kitu.......................... Mwenye jibu toa
0 Reactions
38 Replies
2K Views
Ama kweli UALIMU KAZI YA Wito MWANAFUNZI mmoja hajui kujumulisha wala kutoa mwalimu katumia njia zote kumuelimisha lakini wapi ikabidi ajaribu njia hii MWALIMU; kwenu mnafuga nini? MWANAFUNZI...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Masai kaenda kanisani kaishia nje, PASTOR akauliza ''Yero mbona huingii unakaa NJE?'' MASAI akajibu ''Unasani mi MUJINGA? si nasikia SIMBA wa YUDA iko ndani inanguruma!!!!
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Kukosa usingizi ni ktu kibaya sana jamani. najaribu kufumba macho lakini wapi dah.................. utashangaa kukikaribia kucha ndo utakuja, nipeni pole mie maana kesho kazi kama kawa alafu niko...
0 Reactions
3 Replies
812 Views
Jamaa aliweka mtego chumban kwake.Panya aliona ule mtego akaenda kwa jogoo amsaidie kutoa mtego akakataa,so panya akaenda kwa mbuz naye akakataa,then panya akaenda kwa ng'ombe akamsaidie naye...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakituona chupi zinabana,ah ah zinabana
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Mwalimu alimuuliza John darasani, "Ukiwa mkubwa, utataka nini?" John akajibu; "Nataka niwe na pesa, nioe mke mrembo; tuwe tunaogelea pamoja, niwe nikifanya mapenzi nae mara tatu kwa siku...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
ndio tumekutana na tukapendana,nikiwa na hizi raster zangu..iweje leo uniambie ninyoe nimefuga miaka 8 nimezigaramia kama mtoto,umenikuta na washikaji zangu iweje leo uniambie niwatenge unajua...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari zenu member wote mm n member mpya naomba ushirikiano wenu tafadhali
0 Reactions
11 Replies
942 Views
Back
Top Bottom