Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;-
MME;-Nilitamani sana muda huo ufike.
MKE;-Vip wataka niondoke?
MME;-Hapana hata kidogo.
MKE;-Unanipenda?
MME;-Ndiyo maana yake.
MKE;-Utaniletea demu mwingine...
Padre Aliwauliza Waumini:-
Ni Kiungo Gani Cha Mwili Kilichojificha Na Kina
Wingi Wa Unyevu Unyevu, Kinaweza Kufanya
Ndoa Idumu Au Kuvunjika?
Waumini Wakapiga Kimya Huku Wakiinamisha
Vichwa Vyao...
Ujumbe unaoweza kukuharibia mood katika siku yako:
1. Nakuja kuchukua hela yangu mida hii
2. Samahani tumepata ajali na gari lako
3. Nina mimba yako
4. Nimepata majibu sio mazuri
5. Nimemuona...
Wanandoa wameoana,,siku ya pili tu wamepelekana kwa padri... padri akawauliza nini tena?
MKE AKASEMA: nilifikiri iko hivi
==========>
ama hivi
======>
kumbe hivi
==>
Bora talaka...
MUME...
Tofauti ya maisha; Eti ni dhahiri kuwa kuna tofauti kubwa ya maisha kulingana na maeneo, eti na watu wanaoishi huwa na tabia kulingana na maeneo yao: mfano Mke anayeishi Masaki akimwagiza mumewe...
Mwaka 2013 NOKIA wameboresha kwa kuweka lugha ya KIJITA kwenye simu na mambo yatakuwa hivi: phonebook-ECHITABHO.
Names-AMASINA.
Time-OMWANYA.
Ringtone-LILILILO.
Settings-OMWINYANJO...
Mimi ni member mpya humu ChitChat,lakini katika Wavulana Woote Humu ChitChat nimempenda mmoja tu, nae ni Donn.
Donn nahitaji Penzi lako kaka.
Donn nahitaji faraja yako kaka.
Donn nakupenda...
Jamaa kaingia chooni na kopo lake la maji lakini kama kawaida bila kipande cha sabuni.Choo hiki kina mlango mzuri na maarufu- gunia bovu ambalo mtu hawezi kugonga na hivyo inabidi uwe makini...
Mwaka 2013 NOKIA wameboresha kwa kuweka lugha ya Kisambaa kwenye simu na mambo yatakuwa kama ifuatavyo ;
phonebook-KIFYOMELO CHA SIMU
Names-MAZINA
Time-MISHI
Ringtone-UFEFEZI
Settings-SHIMIKO...
Msikie mwehu huyu, alienda kwa rafiki yake kupiga story, mara mvua kubwa ikanyesha mshkaji ikabidi amwambie rafiki yake usijali utalala hata hapa sebuleni Lea kuwa mvua kubwa! Jamaa akasema poa...
Jinsi mambo yanavokuwaga mwanzo mpaka mwisho wa mitihani ya chuo kuna kila sababu ya kushukuru kujaaliwa kuianza mpaka kuimaliza salama huku matumaini ya kutonaswa yakiwepo.
Kwa mamlaka niliypojipa mwenyewe (naomba msiniulize lini na wapi) na kwa kulinda heshima ya ndoa zinazofungwa hapa chit chat kila siku, mimi Voice of Wisdom napendekeza marekebisho yafuatayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.