JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Dr Issack Maro wa Clouds :FM na Mshana Jr wa JF Hawa ndo vijana wanaojitambua hapa Tanzania, Elimu zao wanazifanyia Kazi vizuri naomba wazazi muwatumie hawa vijana Mshana Jr na Issack Maro Kama...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Kila mtu ana tabia yake ambayo huenda mwenza wake inamkera au itamkera kwenye maisha ya ndoa lakini kamwe hawezi kuiacha Kwa wale walioa ni tabia gani wameshindwa kuziacha wakati huu wa maisha...
8 Reactions
174 Replies
12K Views
Hivi hawa jamaa kwanini ukiwastukia wanajaa mapovu?
1 Reactions
7 Replies
353 Views
Tayari tunaanza kutoa course ya Uchawa ngazi ya Certificate, Diploma na Degree. Bado mchakato wa kuto Masters unaendelea. Kutokana na kuwepo fursa mbalimbali katika Dunia yetu hasa nchini TZ na...
1 Reactions
1 Replies
272 Views
Namuitaga Sheikh Iddi Amini Dada mwamba aliyewatumikisha mpaka wazungu,tulisikia story nyingi mbaya kuhusu yeye za kutunga ili tumchukie. Je, uliwahi kusikia story gani ya Iddy Amini Dada ikakupa...
2 Reactions
10 Replies
670 Views
Je, ni kitu gani huwezi sahau maishani mwako?
0 Reactions
2 Replies
526 Views
NibupibUkimtazama mwanamke unamuonje kwa mtizamo wako? Sisi kama wanaume na wanawake Wana mtazamo Gani juu yetu?
2 Reactions
5 Replies
358 Views
Mwisho wa mwaka unakaribia Sasa sijui ninani unataka kumwambia Nini mie nawatakia sikukuu njema wanajf wote
20 Reactions
506 Replies
11K Views
- Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita sehem mmoja hivi kariako mtaa wa sikukuu ! hapo Nilikutana na wanaa basi tukapiga piga stori mbili tatu na nisemee wazii nimepataa vituu adimu sana. -...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
Hivi na nyinyi mnaona kama mimi. Pale wadada zaidi ya 95% ni warembo sana. Si wateja wala wafanyabiashara wa pale. Utafikiri wanaitana. Au mle ndani wanabadilika nini? [emoji28]
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Ndgu zangu; Kuna memba wamekuwa wanapatikana kwa manati sana hapa jukwaani; naamini kuna sababu mbalimbali> sawa; kujeni basi mtupe taarifa; Baadhi yao ni; PakaJimmy Lily Flower Blaki Womani...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Asalaam Aleykum warahmatullah wabarakatul, Ramadan Mubarak. Penye hela nyingi hapaharibiki neno, kuna mshkaji wangu mmoja hiv ametusua bwana, sasa siku ya Jana Ijumaa alinipa mualiko kwenye Hafla...
3 Reactions
26 Replies
898 Views
Chukua mdudu aitwaye CHANDE mchome kisha mtwange na ungawake uweke kwenye kiganja Nenda kwa demu umtakaye na umpulizie. Hapo umeuwa kabisa mtongoze au mvute geto. Nb: Hii njia niliambiwa na...
4 Reactions
12 Replies
432 Views
Habari za kazi wakuu kama mnavyoona ona Hapo juu kichwa cha Habari kinavyojieleza. Leo nimebahatika kumuona laivu mdada maarufu Sana humu jamii forum. Huyu dada ni machachali Sana na ni mtu...
6 Reactions
123 Replies
9K Views
Kama lipo uliza Hapa watu wa kujibu[emoji847]
1 Reactions
62 Replies
2K Views
Hv kati ya kuacha lawama au alama bora lipi wakuu??
1 Reactions
3 Replies
347 Views
Kiufupi nilizaliwa kijiji cha mpwayungu Kata ya mpwayungu tarafa ya mpwayungu iliyoko wilaya ya chamwino mkoani dodoma mwaka 1997. Tupo watatu ktk Familia yetu wawili wasichana na mimi ni mtoto WA...
17 Reactions
540 Replies
21K Views
Watu Chechefu Serikali Chechefu Wananchi Chechefu Wanahabari Chechefu Nchi Chechefu Mamlaka Chechefu
2 Reactions
9 Replies
402 Views
Hi Dah nimekosa usingizi nahamu ya kuchat ujinga ujinga tu utani utan bas njoo tuchat hapa au pm lakin ukija pm heshima iwepo
1 Reactions
12 Replies
453 Views
Wakuuu shikamooo wakubwaaa!!! Naomba ushauri wenu nisaidie niache pombe.
3 Reactions
74 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…