Habarini wadau wa humu.
Toeni ya moyoni kuhusu kujulikana Je kwako mwenzangu KUJULIKANA kuna raha au karaha?
TIRIRIKENI WADAU hapa.
Mimi kujulikana naona raha sijui wadau mabestito.
Wasalamu
Ladyf
Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo:
1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena
2. Umechapwa ukulia utachapwa tena
3. Ukijililia tu bila kupigwa...
Safari yangu ilinzia Lindi , Dar, Moro, Dodoma now nipo Tabora natalajia jion hii niende Nzega,but sina uzoefu SANA na Nzega napenda nijue eneo la kula lorge nzuri na watoto wabichi.
Asanten.
Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe
"Nikiangalia kopo langu la mkono, lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda."
Tafakari ya babu...
"Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika...
Habarini za muda huu wakuu,
Leo nimeona tuzungumze jambo moja hasa kwa sisi WANAUME.
Nimeanzisha thread hii kwa ajili ya sisi kujadili "mambo yetu" kwa lengo la kufundishana, kuhabarishana...
Mtoto mmoja aliibiwa Baiskeli yake akaenda Police, akaulizwa unahisi ni nani aliekuibia?
Mtoto akajibu: = Nahisi ni WAZAZI wangu,
Police wakamuuliza kwanini unawashuku?
Akajibu: = Jana usiku...
Vijana bhn yaani anatoka kwao ushaagoo kule ndani ndani anakuja Masaki anashangaa zile nyumba anaona kama kafika New York city 😂😂😂 Aisee ushamba mzgo
Wanashangaa vijana wadogo wenye magari makali...
Mimi sina noma na huyu mzee, lakini bwana father kazidisha kwakweli. Yeye hakuna meme au video ya kuchekesha inampita lazima ataiweka status tu, yaani hadi sometimes watu wangu wa karibu wenye...
1. Key holder ya JamiiForums
2. Handbook ya JamiiForums
3. Cello Pen ya JamiiForums
4. Flyer ya JamiiForums
5. Kupiga Picha na Jengo lao zuri na Nembo yao nzuri kisha kupata nao Lunch na Kuondoka...
Good morning!
Weekend yangu jirani yangu aliniharibia sana Ijumaa jioni nilimpokea mgeni wangu kutoka Mbeya huko kijiji cha Galula ambaye ni uncle wangu, kaja kunisalimia nilifurahi sana maana ni...
Halafu Sweety wangu Shunie kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums siku zote tu Wananichunia leo Kudadadeki zao wameona GENTAMYCINE naenda Kuzawadiwa Mamilioni na Gari wameanza Kunisumbua PM na...
Habarini wana JF, kiufupi mimi shughuli zangu za kutafuta coins nazifanyia tu hapa hapa mtaa fulan huku Dodoma, ila zilipita siku nyingi kidogo kama mwezi hivi sijaenda town.
Sasa leo nikaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.