Hua natamani sana siku moja nitoke nje ya Tanzania niende nchi yoyote ambayo hawajui Kiswahili wala Kingereza.
Baada ya kufika huko sasa, hapa ndipo ninapopatamani niagize maji kwa Kingereza...
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana katika hii dunia maana kuna njia nyng sana za kufanya mapenz na bila kuingiza uume wala mwanamke kuingiziwa uume kwenye uchi
wake na akaridhika kabisa.
Kwa mfano...
Mko good?
Hivi mtu kabisa unatoka leo unasema unaenda club au bar unasema ni wekeend sio sawa?
Wekeend kwa kawaida ina anzia Jumatatu mpaka Alhami, Ijumaa tuwaachie watumishi ni zamu yao!
Usalama wa Taifa ni 'sector' kama zilivyo sector zingine.
Kikubwa ni vitu vitatu vinne vikubwa hivi:
1. Intelligence
2. Usiri
3. Uaminifu
4. Uwezo to make it happen
Mengine ni added advantage...
Raila na genge lake wana bahati mimi na vijana wangu hatukuweza kufika kabla ya maandamano kwasababu imetubidi twende Marekani Kwanza kumsaidia Trump asikamatwe.
Ila baada ya ishu ya Trump...
Ivi wachaga mna nini hasa au mlitupiwa jini vuta picha jua kali kama hili mtu anakunywa k vant na konyagi anatafuta nini
Acheni kujiendekez pombe sio dili walevi wote washamba tu
Habari zenu mashabiki wote wa mpira JF
Leo Yanga sc tunaingia uwanjani na malengo ya kupata ushindi ili tuweze kuwa na uhakika wa kuvuka hatua inayofua ya robo fainali.
Mechi tuliocheza kule...
Ukifatilia hata hapa mjini hawa jamaa ndo wanaongoza kwa black market , kuwa makini sana unapoanza kufanya dili na mtu kibonge , ni wacheshi wazee wa mastory ya kusisimua ila kukuingiza kwenye...
Mara nyingi huwa napita pale Feri , ni saa moja asubuhi lakini kuna jamaa wanauza juisi baridi ya miwa.
Watu wamejazana sana mara zote utadhani ni mchana wa saa saba! Nilidhani ile biashara...
Hii siku sitaisahau. Yani mpenzi wangu alikuwa anasumbuliwa sana na x wake eti warudiane. Hii ilimkasirisha sana mpenzi wangu na aliniomba aende akampe makavu x wake. Kwakweli nilimpenda na...
Kwa mfano hawa Wafuatao wala hawajakurupuka kama Wengine ( fulani fulani ) kubadili IDs zao na kuanza na Titles za Dk ( Honorary Doctorate ) ila bado wana Mvuto, wanakubalika na wana Ushawishi...
Wanajf wenzangu habarini?
Kwanzia furahiidei ndio mwanzo wa weekend mpaka jumapili usiku sana unakuta klabu zimeejaa watu mbalimbali wanakula,kunywa na kufurahia maisha bila kusahau totoz kali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.