Wana bodi Kuna ule utapeli unaofanyika anakuja mtu amepaka sijui madawa sijui wanasema Anatembea na majini ila anachofanya anakuongelesha ukianza kumjibu tu unajikuta unapoteza ufahamu kiasi Cha...
March inaenda kwa speed...je zile resolution tulizojiwekea zinaendaje? Wale wa gym mmeanza? Wale wa diet...beer na nyama choma tumepumzisha? Na zile financial goals vipi? Biashara tumeanzisha au...
Allhamdulillah
Pambana kushinda sio kushindwa.
👤 Tengeneza mazingira ya kusaidia ila sio kusaidiwa.
👤 Jipange kujiajiri sio kuajiriwa.
👤 IQ yako ndo uwezo wako so jitahidi kutoka hapo ulipo.
👤...
Baada ya nchi kupata taarifa za ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani, ndugu zetu wahaya wameanza propaganda kwamba huyu mama ana asili ya mkoa wa Kagera, natumia fursa hii kuweka wazi kwamba hana...
Huyu Binti mrembo mwenye mvuto wa sura na kimwonekano aliwezaje kupata mafunzo makali ya kuwa Bodyguard wa Rais.
Nimemuangalia mpaka nasisimka Vagus Nerve
Hii kitu hakiwezekani kabisa mimi nakudai billions of money ila unanishikia Bastola eti kisa wewe ni deep state hii kitu hajiwezekani na bila shaka ya muhusika upo humu na unaisoma hii thread kile...
Baada ya Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh Lema kusema kuwa Bodaboda Siyo Ajira sasa pamezuka ajira mpya ghafla
Bodaboda sasa wanajitambulisha kama Maafisa Usafirishaji
Vijana wa Kubet...
Habari wakuu,
Rais Samia leo kasema huwa anafuatilia sana JF, na anasoma maoni yetu hapa jamvini huwa anacheka sana.
Je, unadhani au unaweza guess ni nyuzi gani ua comment gani zinamfanya acheke...
Habari wakuu,
Mi mgeni humu. Pamoja na ugeni wangu nimekuwa nikafanya utafiti muda mrefu na sasa naomba niyalete matokeo ya utafiti wangu.
Kabla sijaanza naomba niombe ulinzi wa kutosha kutoka...
Jana katika pita pita nilimkuta jamaa mmoja anakunywa pombekali huku akiwa anaichanganyia kwenye maziwa fresh
Ilinishangaza na kunistaajabisha....
Nilipo muuliza akasema yeye hutumia maziwa kui...
Habari wana Jf, poleni na majukumu ya kazi.
Leo tufunguke ni visanga gani ambavyo uliwahi kuvipata na ukweli ulifanya lakini kwa namna fulani mama yako akasimama mbele yako na kukutetea kwa nguvu...
Umepambana chini juu kutafuta shavu TISS ukakosa, ukapambana ukapata sehemu nyingine ya kupata tonge nyama maisha yakaendelea. Sasa siku umekufa TISS wamekuja kukuzika na kuutambua mchango wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.