Alikua mchepuko wangu siku za nyuma tukaja kupotezeana,so tumekutana tena na nimemdanganya danganya kaelewa somo.weekend hii natua hapo dar na bombardier ya saa 7,namtia mpaka saa 1 usiku.
Mwenye...
Nipo kwenye daladala hapa Buguruni Makumbusho. Kuna mabishano kati ya konda na abiria kuhusu yupi bora kati ya mvuta sigara na mnywa pombe.
Konda anasema mvuta sigara ni bora maana akishavuta...
Nasikia Yanga watacheza na Bamako siku ya wanawake duniani tarehe 8 machi 2023, sijaelewa kwann CAF waipange mechi hii ngumu siku ya wanawake.
Wadau mnisaidie
Sijajua umetumia idea gani kuchagua ID yako, Ila tambua unatumia ID fake, lakini uwepo wako humu ni real, na yale yote utakayo sema humu, yatakuwa yanawakilisha uhalisia wako. So behave well...
Unafungua JF unakuta notifications kumi na, unafungua kujua walioreply na kulike comments zako. Unaingia unakuta ni member mmoja kalike comments zako kumi! Si zako tu. Kalike thread nzima. Inakata...
Natumai mu wazima sana,
Mabaharia nina swali lenu hapa, wewe kama mwanaume huwa una deal vipi na jibu utakalopewa na mwanamke kwamba, 'nina mtu wangu'?
Embu shusheni nondo hapo tupate somo.
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari kinajieleza na picha imeambatanishwa mwamba aktubu na Padre kainama kashika kichwa huku kainama mawazo kibao!
Unahisi kafanya dhambi gani ya ajabu...
Haijalishi weee hapa tunazunguzmia Mfyooonyo yaani unasikia mfyuuuuu mtu katoa yake na imevutwa kama mpira wa manati, yaani inaanza mbali na ikimalizika lazima utaona cha mtema kuni😂
🤪Wee acha...
Mfanyabiashara maarufu kijana jijini Mwanza anaingia katika orodha ya Watanzania wachache nchini na labda pia anaweza kuwa kati ya watu wawili watatu wasio na asili ya Kiasia kumiliki ndege...
Yaani nimecheka sana kusikia mchezaji Feitoto alikuwa analishwa ugali + sukari huko Yanga.
Sasa nawauliza wenzangu huu mchanganyiko wa ugali na sukari unaliwaje?
Angalau kidogo ugali + limao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.