Hellow
Hii ni jamii na jamii ni watu na tupo watu tofauti wenye tabia tofauti na sifa tofauti ni mtu gani wewe utamani apewe ban kabisa anakufurahisha na unamkubali sana mimi na anza na hawa...
Mimi nimepanga kwenye nyumba kubwa yenye vyumba vya uwani. Mimi nafanya biashara nina maduka ya nguo Kariakoo nimepaga bado sijamaliza ujenzi kwangu Madale.
Usiku wa leo niliamka ghafla nilipoona...
Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili,
Mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu, kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba.
Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.
1. Ana sumu inayoweza...
Leo naanza beti, kuuambia ulimwengu
Feb 29 mwezi, mwaka huu mchungu
Mwaka huu yamini, hakuna kushangilia.
Polen wote mulozaliwa feb 29.mwaka huu hamna birthday yenu.afterall mchele ghali na...
Wajameni huu Uzi nikwa wale watu ambao wamewamiss wapendwa wao hii siku ya Leo.
Nani unatamani hapo ulipo uwe naye karibu au uwe unachart naye saii.
Mie sijammiss mtu labda hela
Matumizi ya hivi vikaragosi si madogo kwenye maandiko yetu mitandaoni.. Vikaragosi vya emoji hufupisha na kurahisisha mazungumzo
Jaribu kuweka zako tatu uzipendazo tuone kama tutaweza kuelewana...
Habari.
Kwa mtazamo wangu naona kabisa neno "MKUU" limepitwa na wakati hapa JamiiForums.
Ninapendekeza iundwe Tume mpya kwa ajili ya kupata mchakato wa jjna mpya.
Kwanini nasema hivi, wakati...
Nimrudishie nini Bwana kwa ukarimu wake wote alionitendea? Nitakipokea kikombe cha wokovu na kuitangaza amani ya Bwana kwa neno lake, Zaburi 116:12.
Mungu wangu u mwaminifu sana kwangu hata sasa...
Mimi naanza na hawa wafuatao:
Waziri Angella Kairuki na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwogelo
Marehemu Ephraim Kibonde na Mshambuliaji wa Simba SC Meddie Kagere
Rais Dkt. Magufuli wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.