Mambo yasiwe mengi.
Yani ID zile za zamani za wadada wakali hatuzioni sasa unakuta kuna ID mpya ya mdada uki click profile unaona ni wa 2013, 2014, 2015 au 16 lakini jina hujawahi kuliona JF...
Wakuu, katika kuzunguka kwangu hapa Tanzania nimefanya kautafiti kadogo kuhusu pisi kali, na nimekuja na orodha ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa hapa Tanzania.
1. Mbeya
2. Katavi
3. Rukwa...
Ukweli ni kwamba waomba ajira ndo wengi juu,
Kuliko wanaopambana ili wajiajiri tu!
Unaweza miliki pesa ukakosa uhuru juu,
tambua huru ndo UTAJIRI pekee huku juu.
Mtu akishapata nafasi uku juu...
Endeleeni kuoa vijana , wake za watu sio wachoyo kabisa ngumu akubanie alichopewa bure labana awalinde pia endeleeni kuhudumia vizuri na sisi tule minofu .
Leo ni weekend ndio inaisha kesho ni kazi na mtu kuja nyumbani nyang'anyang'a nani Leo unamtakia wiki njema yenye baraka?? Mie ni JamiiForums wote na Lovelovie Nakadori To yeye Kalpana
"kila mtu kwenye kitabu chake cha maisha kuna ukurasa ambao hawezi kuusoma kwa sauti mbele za watu"
Kwahiyo, tupunguze kunyosheana vidole. Mkamilifu ni Mwenyezi Mungu pekee.
📌 Usikate tamaa kwa changamoto unazopitia, aisee hakuna kitu kizuri kinachokuja bila changamoto ata masika uja baada ya kiangazi kuzidi.😂
📌 Mtu anayekupenda hatokuacha kwa tabia zako ila...
📌 Penye miti hakunaga wajenzi nikiongezea na msemo wa ndugu zangu wahaya(zagwa mbali batazilya)...
📌vingunguti kuna machinjio ila tembelea mighawa sijui niseme vihotel VIDOGO vya mitaani...
Mzuqa wanajamvi!
Nimecheka had kulia. Humu jamvin raha sana wanajf tunavituko. Eti kuna tetes humu tangu Scorpion akamatwe mshana jr haonekan humu jamvin. Hii kitu imenichekesha sana.
Nimekuja bar hapa, kuna Barmaid kimechangamka, kiko Vizuri kwa macho.
Sasa kuna jamaa amekanunulia bia, amekaa nako, mimi nimemuita huyo barmaid jamaa linageuka linaniangalia kwa Jicho baya...
Wandugu,
Kati ya watu ninaowakubali JF, Mshana Jr ni namba moja. Si kawaida kukaa nusu saa bila kukuta walao comment yenye busara ya huyu member mwenzetu.
Kwakuwa nimekosa vitu vyake adimu kule...
Habari zenu wakuu,
Kama ilivyo kwa wa Tanzania wengine swala la kusoma vitabu ni gumu sana kwetu hasa vijana na mara nyingi wazee ndo wamekuwa na utaratibu huo.
Leo nataka ku share na nyinyi my...
Ukiwa kwenye mahusiano yoyote lengo lako liwe ni kukua katika kila nyanja zaidi ya jana.
Kukua kimwili (je uliyenaye anakusaidiaje kuwa na afya bora zaidi?), kiakili (je, uliyenaye anakupa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.