TUJIKUMBUSHE.
________________
Mwandishi: Tukisema Elimu bure au ukisikia neno Elimu bure wewe unaelewaje.?
Mzazi: Naelewa kama ni kitanda ambayo umentandikia na kukaa kuongeaongea kikawaida...
Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe
"Nikiangalia kopo langu la mkono,
lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda."
Tafakari ya babu...
"Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika...
Naona kulala pekee ni Kama adhabu, wee usiku mzima hakuna hata anayekugusa. Poleni wote mnaolala Kama baiskeli ukipaki imepaki utaikuta vilevile asubuhi.
umekatiza zako kitaa mara pap unamkuta manzi kasizi mahal analia et hana sehem ya kulala 🤭 ukichec ni bonge la pis unaamua kujibless unaenda nae geto then unajiweka kwa sofa yeye kitandan usiku...
TUKIO LA KWELI KATIKA MAISHA HALISI.
Siku ya November 24 mwaka 1971, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mji wa Portland jamaa aliyevaa suti nyeusi na koti refu jeusi kwa juu akiwa amebeba...
Denis Mpagaze
_____________________
Kila kona ya Dunia hii Yesu anajulikana. Tena anajulikana kwa wanaomkubali na wasiomkubali. Unajua kwa nini? Ni kwa sababu hakuishi kienyeji. Kuishi kienyeji...
Haya jamani kwa wale wanaojua wapi ilipo free internet wi-fi tupeane connections
MI upande wangu kwa hapa dar najua airport udsm ucc centre vipi kwengine wadau
Sent from my SM-A037F using...
Katika pita pita zetu maeneo ya koko beach tulikutana na bango la vinywaji ambacho hakikueleweka ni kampuni gani japo wananchi waliokuwa wanapita walionja onjaaa.
Nasi tulijongea nasi kujipatia...
I often find myself thinking of the many ways on how you bring joy and happiness to me with an encouraging word. You have a smile that’s always bright…
I often find myself loving you mahondaw...
Wako wengi sana ikiwemo kina holy holm , Santos06 extrovent, mshana jr, Half american n.k ila hao watatu niliowataja juu mmetisha sana mnenifanyia maajabu sana mideko asante umeniongezea likes...
Kwa kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu .
Nikiri wazi kwamba nimekuwa nikishiriki kulifananisha jiji la Mwanza na Jiji la Arusha nikisema kuwa Mwanza na Arusha ni Sawa tu na mara nyingine huwa...
Nataka kukusaidia si ajabu unalazisha mapenzi pasipo na mapenzi mwisho uje ujinyonge kisa wivu ww hapa chini andika mfano
Mpenzi wangu Grory mimi Isiaka nashughulikia bure ila uwe mpole comment...
Niulize swali lolote nitakujibu nataka nijipime IQ test yangu kama imepanda kidogo kupitia majibu nitakayotoa.
NB: Yasiwe ya hesabu, maswali yawe ya kufikiria zaidi either personal Question au...
Katika maisha yangu siwezi kusahau siku ambayo nilikua jkt 821 kj Bulombora Egle coy mujibu wa sheria nikiwa katika harakati za hapa na pale za usumbufu wangu nakujikuta mjanja.
Nilikua mzee...
Ukute unalewa kwa mawazo yako alafu ndugu jamaa wa karibu wanakushinikiza uache pombe japo wao wenyewe wanakunywa ila wanajidai wanakunywa kwa kiasi ila ukifatilia unakuta wanakunywa tu achana nao...
Mtu akiwa kwenye mipango ya ndoa
Au ukiwa kwenye ndoa
Ndo sasa unaanza kuona wanawake wazuri
Na kupendwa na wale ambao walikukataa kipindi cha nyuma hapo
Eee Mungu naomba unisaidie hili ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.