Salaam Wana JF nikianza kwa vyeo vyenu: new members, members, jf experts, na
wale ma Platinum members ambapo jf nzima tupo Mimi LABAN og na Mshana Jr
Back to the topic
Baada ya kufanya utafiti...
Naona kodi mtakuwa mnalipa kwa kutumia vyeti pamoja na report cards au sio?!....kwanza speaking of kodi, kuna michongo gani short term ambazo zinaweza kuboost balance ya mpunga kidogo? Mkataba...
Nimeona Chizi Maarifa ni mchawi wakujitolea huyu mtu alikuwa ananipondea humu ila baada ya kusikia ni muharibifu nakuomba popote ulipo ninakazi kubwa naomba msaada wa uharibifu nipo serious
Dah nimekaa tu nimejikuta nime pamisi kidimbwi mlioenda karibuni huko kukoje? Naogopa nisije pata ajari tena kuna faa kwendeka au ndio tutafute kiwanja kingine?
Shalom...!
Nimeskia story nyingi sana kuwa, Matiti yanapokuwa madogo wakati Binti akiwa under Eighteen hivi ni kweli kuwa hayo Matiti yakishikwa Shikwa yanakuwa Makubwa tofauti na mwanzo au ni...
Hi
Ukitaka kujua watu wafupi wana hasira tegea siku anasoma tangazo la kazi halafu anasifa zote za hiyo kazi iliyo tangazwa lakini mwisho wa lile tangazo wakasema lazima awe mrefu.
Utaona...
Karibuni chunya Makongolosi, sehemu ambayo watu hujiachia masaa 24 Kila Kona baa na vilabu vya pombe asili.
Ukiwa unavuka barabara jishikilie maana bodaboda wa huku hakuna kufuata sheria. Duu...
Mention mwanachama mwenzako humu JamiiForums.
Hata kama alitoa comment mwaka gani.
EITHER
Umkute ametoa comment kwenye thread humu JF huwezi kumuacha kumpa LIKE [emoji1417].
Ni LIKE.
LINDA...
Hivi Dar es salam ni mkoa kama vile Kigoma, Mwanza, Dodoma na mikoa mingine
Au ni city tu kama vile Kasulu, Kilimanjaro na Cities zingine
Kuhuliza sio ujinga nataka nijue
Kupanga chumba au kukodi chumba sehemu ni kawaida Sana kwa wapambanaji wa hapa na pale. Katika vyumba hivi Kuna vihoja au Mambo Fulani hivi yakukera au kufurahisha, embu nianze na haya yafuatayo...
Nimepamiss sana dar niliwahi kuishi miaka 7 pale napenda sana kuishi external maji chumvi kipande kile nakikubali sana kwa Me naamini dar ndo njiapanda ya mafanikio mnaoishi dar mna enjoy sana.je...
Swali la kwanza(marks 40)
Jinsi ya kumwingiza simba ndani ya friji.
Fungua friji halafu msukume ndani na ufunge mlango wa friji.
Jinsi ya kumwingiza twiga ndani ya friji.
Fungua friji na umtoe...
Habari za jumapili wanaJF,
Kwanza namshukuru mwenyezi Mungu kwa pumzi aliyotupatia mpaka tumefika mwisho wa mwaka kwa neema yake pia tutauona mwaka mpya.
Kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.