VITU VYA KUZINGATIA KATIKA MAISHA
MAISHA YANA VITU 7;
1:- Furaha.
2:- Karaha.
3:- Misukosuko.
4:- Majonzi.
5:- Migogoro.
6:- Mikasa.
7:- Chuki.
Haya yote husababishwa na viumbe hai kama...
Vyombo vya usafiri
1. DCM (Japo siku hizi bado chache zipo)
2. Mabasi ya Leyland
3. Chai maharage hii mnakaa mnatazamana Kama mnacheza draft
4. Peugeot
5. Datsun N.k
Nb: zilikua ndio luxury pindi...
Humu hakuna makapuku wala-vumbi. Ni mtandao wa mataita wenye pesa chafu.
Huwezi kukuta mshiriki wa jamiiforums anamiliki vigari vya hovyo hovyo kutoka china.
Humu wote tunamiliki landcruisers na...
Habari,
Ni wiki moja sasa natafakari baada ya kijana wangu niliyemwamini mno anijibu vibaya usiku nilipomuita sebuleni kumpa onyo ache uhuni na uasherati.
Nimelia usiku kucha na bado hajaniomba...
Habari ndio hiyo,
Kama anakula tu za wenzake ipo siku watamwambia alete ya ampendaye ambaye ndio wewe mme/make.
Ukiona mshirikina jibu ni moja dini kama hatak mwache usije ukawa msosi.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwaza nicheke
Ilikuwa siku fulani hiyo nilikuwa na stress balaa sasa nikaona sio tabu ngoja nijitoe out nikatoka mpaka sehemu yangu pendwa kwa bendi mzuri CAPE TOWN...
KAMA UTAENDA KUNUNUA DADA POA, ZINGATIA HAYA.
Anaandika Robert HERIEL
Yule Mtibeli, Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Mambo haya pengine niya aibu, pengine hayasemeki kwa urahisi, tena hayafurahishi...
Salaaam wana JF,
Kama ilivyokawaida wavunjifu wa sheria huwa hawakosekani mahali popote lakini pia hata wale tunaoheshimu mamlaka lazima tuwepo.
Taja member waliowahi kula ban hapa JF ili tupige...
Alhamis njema kwa nyote.
Siku hii ya leo pokea baraka za utajiri
Pokea baraka za majengo
Pokea baraka za magari
Pokea baraka za fedha na dhahabu
Pokea baraka za biashara kubwa kubwa
Mwaka huu...
Mambo vipi wale vijana wote wenye maini na figo safi kabisa kwa utendaji kazi mwilini, lakini inakuaje wanangu wote wazee wa kamnyweso, wazee wa kula gambe, kula kilaji, kuuchapa mtungi na...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavojieleza, huyo kiumbe Genta anaongea ongea sana humu kujifanya yeye ndo anajua kila kitu kana kamba viongozi wetu wapenda hawafanyi kazi nzuri vile na...
Hello lads and ladies.
Legends!
Tupitie flashbacks zetu tukiwa campus notes zina majina yake, vikaratasi vya kuibia majibu kwenye Tests na UE na majina yake.
Wakali wa vizenga, dessa, simbi...
Sijakosea najua hili ni Jukwaa la Jokes na nimeweka hapa sababu yanayofanyika ni kama Utani...
Nimemsikia Makamba leo katika utiaji wa Saini za mikataba lukuki ambayo itahitaji pesa lukuki za...
Nilikulia na kulelewa Mbeya maeneo ya Majengo na Nonde-machinjioni. (1974-1980). Nikaondoka kwenda kusaka maisha. Nikalowea huko nilikokuwa.
Nimerudi majuzi. Daa!! Ooh! Mbeya, my dear Mbeya!
Habari wana Jf.
Katika maisha kuna vitu vinakuja na kupotea,
Kuna watu wanakuja katika maisha yako na kutoweka.
Kuna watu mlizoeana kipindi fulani lakini ghafla mmesahauliana. (Bila ugomvi)...
Wakuu, plani yangu kesho ni hiyo kwa ajili ya EX wangu. 😂
Mwenye plan nyingine anipe tafadhali!
---------------👇--------------
This's for (Jokes). If you want a serious post, go and write what...
Kuelekea sikukuu ya wapendao 14/02/2020.
Hebu weka wazo la zawadi unayofikiri utanunua au kuandaa kwa ajili ya mpenzi/mpendwa wako ila bajeti isizidi Shilingi 20,000/=
Kwa kuweka limit ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.