Kumwagilia moyo huku kwa pembeni akiwepo mrembo machachari mwenye umbo namba nane, na mwenye rangi ya chungwa; kunanogesha sana uwepo wa kuwa hapa duniani.
Natamani kwa leo, ajitokeze mrembo...
Niaje Wadau wa JamiiForums
1. Jamaa akiwa na demu wake wakiwa wameshikana mikono, mara ikapita njemba nyingine paap kuangalia demu ya jamaa imeshona tako balaaa, si jamaa kaona mwenzake anafaidi...
Japo kuwa nimekosa cocktail wengi hili neno ni geni ila nimepata kinywaji changu pendwa cha Windhoek za Kopo na nyama laini kama sufi, nyama tamu ya Moto
Kahama nzima ukitaka kurelax nenda the...
Mungu baba tusamehe tumelewa hii Dunia kuna watu wanakeraaaaa!
Wanangu eeeh kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa au wewe ukifanikiwa nini napungukiwa? Kumbe siku hizi wachawi sio wazee!
Daaah...
Mwanaume anayejua kutumia pesa.
Namaanisha kutumia pesa yaani hela, siyo unampeleka mtu bar anakunywa vibia viwili tayari kalewa, au unampeleka shopping anachagua kakadet ka sh40elf hapo yeye...
Baada ya pilka pilka pamoja na miki kiki ya hapa na pale ya maandaliz ya kristmas ya mwaka 2022 nilifika homu hoi.
Ilikuwa tarehe 24 December jioni kristmas iyo inajongea. Joto lilikuwa kali...
Katika maisha shule kunakuwa kuwa na changamoto mbalimbali hasa tuliosoma shule za St kayumba mm nakumbuka baada ya kumaliza shule ya sekondari .Nilibahatika kufaulu na kupangiwa kuendelea na...
Tupendane wadau wa humu tuache majungu.
Maisha haya ni mafupi tupeane faraja na kushauriana mambo yakujenga sio kubomoa .
Unaweza kuwatag watu Fulani ila ukiwa nashida wao wanakuacha Matani...
Nimebahatika kwa mara ya kwanza tangu mwezi wa tatu mwaka jana kumtoa out. Niko nae hapa maeneo fulani sasa naomba ushauri, nizuge zuge kwa dakika ngapi kabla kuanza kumpapasa mapaja?
Jamii ina watu tofauti tofauti, kukiwa na matabaka, kipato, elimu na mtindo wa maisha hutofautiana.
Kuna wenye ushawishi kam Mshana
Watu wajuaji na wabishi kama kiranga
Wenye degree za maisha...
Naomba mwenyeji atakaye mpokea unique flower mdada mfupi mremboo stendi mbeya .
Anionyeshe mahali pakulala na kula . Pasafi na pazuri.
Nikwa hiyo siku mmoja hiyo tu.
Good night
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.