A guy asked a girl in a library; Do
you mind if I sit beside you? The
girl answered with a loud voice; "I
DONT WANT TO SPEND THE NIGHT
WITH YOUUU!!!.
All the students in the library...
kuna wanafunzi wawili walikuwa ni vipanga sana darasani.Siku moja wakati mwalimu anafundisha,wenyewe wakazwa wanapiga story tu bila wasiwsi,mwalimu akwaona,akachukua fimbo akawafata na kuanza...
Special thanks kwa wana JF wa Arusha, nimefurahia kuwepo Arusha though muda ulikua ni mfupi nimeenjoy kuwa part ya JF.
Special thanks.: Arushaone Filipo Erickb52 na niliowasiliana nao sweetlady...
Mlokole mwenye guest
alikataa yanki mmoja
aliyekuja na mama mtu
mzima kupata chumba
akisisitiza kuwa guest yake
hairuhusu uasherati. Yule
mama akaja juu na
kumwambia Mlokole kuwa
yule...
jamaa amekaa jikoni na mke wake.. Mke
katoka kidogo jamaa akadokoa nyama
jikoni, kwa bahati mbaya nyama
ikamkwama kooni... Katika harakati za
kujiokoa ghafla mke akatoke. Mke
akamuuliza...
Aaaaah!,nshajua kutofautsha kat ya demu na ndume humu jf 1.mademu hawa2kan direct 2.majina ya mademu n mara nyingi ya kujiproud/mazur c ka ndume.3.harufu ya post za madu ni ya pafyumu c ka ndume...
Nimeona kupitia TBC - 1 kwenye maazimisho ya siku ya Mapinduzi trh 12.1.2013 mlinzi wa kike wa mke wa Rais wa SMZ Mwanamwema Shein akimfuatilia mama kwa nyuma huku akimwekea mkono kama anamkingia...
mlevi na mchungaji walikutana ndani ya daladala, sasa mchungaji hakupendezwa na kitendo cha yula mlev kulewa ndani ya daladala akaamua kumuuliza swali na mazungumzo yao yalikua hivi:mchungaji...
Baba aliona mkwe amepunguza mapenzi kwake, ni baada ya mke wake kujifungua mtoto ,bac akaamua kutafuta sumu ya kumuua mtoto akaamka mapema,akampaka mke wake sumu kwenye maziwa ili mtoto akinyonya...
ZUZU; Unajuwa zumbukuku dhambi zingekuwa amna sema daaa adam na eva ndio wametuponza
ZUMBUKUKU;kwann leo umewaza hivyo??
ZUZU;Adam na Eva wangekuwa wachina,dhambi isinge kuwepo ,kwan wangemla...
Unapewa taarifa kuwa mumeo wa ndoa yuko na hawara yake wamekaa garden, ile unafika karibu yao unasikia kimada wake anamwambia
"Honey chukua hii laki 7 hizi umpelekee mkeo nyumbani umwambie...
Wageni wengine ni noma sana, hebu angalia hapa:
Mwenyeji: Karibu mgeni! Sijui utatumia nini, soda au chai?
Mgeni: Nitakunywa soda wakati nasubiria chai ichemke!
Hili jamaa na ukubwa wake, lilichukua kibano kutoka kwa Kabinti kadogo kenye Mkanda Mweusi, dahh hadi anatia huruma.
Alibaki tu akifoka " I will kick your a$$." Hapo alishawekwa chini kama...
Siku moja baba alimwaga mkewe anaenda safari kikazi ambaya ingemchuwa miezi 6 nje ya mkoa, sasa wakati mkewe anamsindikiza ilikuwa hv:
Mke: Mme wangu ntakumisi kweli ila sina namna jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.