Lusile
Member
- Jan 5, 2013
- 45
- 30
Last edited by a moderator:
Nimesha ku PM . Nipe jibu basi
ungekuwa una swing AC/DC ningekufanyia mpango flan hivi na mdada flan wa chitchat,anyways.....
...hahhahahahaha..bebii..ni ruhusu kwanza kuhudhuria..kabla hujanikabidhi huyu shosti wakoNaweza kukuazima mtu chake........ila party ikiisha.....puliziiii umrudishe.........
Nombee ruhusa
we kakobe wa chitchat mambo ya wanawake umeyaanza lini?
ungekuwa una swing AC/DC ningekufanyia mpango flan hivi na mdada flan wa chitchat,anyways.....
Mie mgeni hapa, hiyo white party inafanyikia wapi?
hebu nihabarisheni wenzangu
mhhh wangu sidhani kama hata atakutamani!