Jambo gani? Mkeo ume mpa taarifa?
Utoto utakusumbua sana! Hivi unafikiri kila kitu unamweleza mkeo!? Utakuwa unahitaji jando!
Hembu "nipe tigo" yako "nikutumie!"
Mie hadi sasa ninao 18....mchakato wa kumpata mshindi umeanza.
Kila la kheri washindani(mnajijua).
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
why not 20.
Sorry nilisahau kukuhesabu...mmefika 19....kazi ninayo.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hembu "nipe tigo" yako "nikutumie!"
sina hiyo! nilishahamia airtel mwenzio...lols