Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Ndio maana nakwambia uache ukorofi! Njoo tukimaliza unatuna invoice.
Mamaaaaaaaa
kumbe mie mkorofi.............!
Hana sela huyo, amebaki ana bwabwaja tu
Afu wewe mdada unajipenda?????? Ole wako uchekecheke na my huzbend..... Ntaku-ulimboka ooohhhhoooo!!!!
Sera zangu huwezi kuziona, wala kuzisikia. Huwa nafunguka kwa watoto wa kike tu!
Umetushtua!!!? Nipo na Paloma hapa karibu tutoke mbio!
Sorry nilisahau kukuhesabu...mmefika 19....kazi ninayo.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
naomba kuwa wa 20!!!!!
So far namba 1 haina mtu...naomba ukae hapo kidedea...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums