Natafuta Partner wa kutoka naye siku ya WHITE PARTY!!!!!!!!

Natafuta Partner wa kutoka naye siku ya WHITE PARTY!!!!!!!!

bw1.jpg


Aliye tayari anijulishe

Sitaki PM, wekeni mambo hadharani.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Madame B, Paloma, charminglady, Nicole, Kaunga, Kipipi, Asnam, Preta, marejesho, Lisa, nivea, Suprise, naomba muwatie kamba waume zenu zisije katika muda wa majaruhi huu.



Nimekuja kuwashika

Mke wangu Lily Flower ameniruhusu niwe partner wako
 
Last edited by a moderator:
lakini si tulikubaliana mnitumie ticket ya fastjet! na booking confirmation ya rum!!!!
au yanakushinda!?!?!?!?! makubwa?!?!?!
bora nibaki kwa mjeda wangu ........
cc: Mtambuzi

Wewe acha kuleta mapozi yako! Unajua bahati uliyoipata kuongea na mimi!? Chezea tu!
 
Last edited by a moderator:
Filipo hakufai eti anasema yeye hamuwezi muacha kisa ana mautamu weee bora ubakie na mjeda wako
aku....thitaki!



mshangae kabisa.......yani nachapa lapa hapa sitaki hata kufanyanae hicho kitu! manoah si heri nibakie kwa mjeda!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom