JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
wadau mnisaidie ilipo location nataka na mie nipate walau ndyofu moja. . .na pia namtafuta mmiliki wake Erickb52 Cc:@Filipo & Arushaone
0 Reactions
40 Replies
2K Views
Ndugu wana Jf hasa wana Chit-Chat , tuweni na mpangilio wa kuanzisha thread, na sio tu ukijisikia kuanzisha thread basi unaanzisha na matokeo yake tunakuta hata baadhi ya thread hukosa...
1 Reactions
52 Replies
3K Views
Habari wana Jf Nimekuwa nikifuatilia matukio mbali mbali ya wabongo walivyo na akili lakini hawatumii akili ya kwa maendeleo bali kwa kuharibu au kurudisha maendeleo nyuma. Nakumbuka kulikuwa na...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Thread unayosoma kwa sasa haichekeshi, jaribu tena nyingine
0 Reactions
1 Replies
1K Views
siku moja mwalimu wa sayansi aliingi darasani kwa akinana kizibo,kizibo alikuwa na swali la mtego kwa mwalimu wake,mambo yalikuwa hivi: Kizibo.Eti mwalimu,hivi ukichanganya sabuni ya OMO na FOMA...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
kwa leo hakuna mtu anandugu yake amepanda treni la mwakiembe leo maana dereva alijua ni long trip so kanyoosha na sasa ndo wako tabora wanarudi...
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Mmasai 1 alpeleka redio kwa fundi, fundi alpofungua mende wakatoka masai akasema "xaxa mbna unawatoa watazangaji" fundi akajibu "wana njaa kinouma."
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hapa nipo na Madame B, Paloma, Mtambuzi, Kijino na Lusile karibuni tusongeshe na Govinder Kumar Brandy, Contesa, Dompo, Ndovu, na Castle Light. Karibuni sana........... Updates:manoah...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Wadau habari zenyu binafsi!!!!!!! nami leo nimemuota Madame B.... Ati tulikuwa mahali tunamteta lara 1 tukiulizana kwanini hajainekana kwenye "Kumbukumbuku ya marehemu Regia" Ndiposa tukapata...
1 Reactions
62 Replies
3K Views
Jamaa mmoja mkazi wa lamu amempa mkewe taraka 3 baada ya kukasirishwa na maneno yaliyoandikwa kwenye kanga aliyovaa mkewe. Jamaa ambaye alisafiri kwa muda wa miezi 2,alishtushwa aliporudi na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sheria ya usingizi ya mwaka 2012 ibara ya 2, inasema;- "ndoto ni haki ya msingi ya kila asinziaye" kifungu cha 3 (c) cha sheria hiyo kinampa haki mtu yeyote kulala na kuota ndoto na kutakiwa au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wandugu wana JF na marafiki wote wa JF, napenda kuwapa habari njema kuwa nimepata Mtoto wa Kiume kwa mkewangu mpenzi. Nimempa jina "NSALA" kwa wale Wasukuma wekeni maana hapo kwenye Bold....
10 Reactions
59 Replies
4K Views
Nikivaa boxer kifaa yangu haikai vizuri. inawezekana sijajua zinavyotumika? Mi napiga boxer na trousers tu. naomba ushauri wa matumizi sahihi ya boxer pant.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
if yes pick me up to the bed.
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Baada ya kusotea ajira kwa takriban mwaka mzima, hatimaye jana nimeitwa na kusaini mkataba na kampuni hii iliyojikita hapa nchini kwa miaka kadhaa sasa. Kuanzia sasa nitakuwa ni mmoja wa waajiriwa...
16 Reactions
89 Replies
6K Views
Dr.zero uje utoe maelezo hapa!!! Una uhusiano gani na Baba V?
3 Reactions
55 Replies
3K Views
"Wahaya bwana...... Kujisifiaa imepitiliza.... Leo nimesikia hii kwenye matangazo ya vifo.....!NDUGU DUES RWEYEMAMU WA MASAKI ANASIKITA KUTANGAZA KIFO CHA MWANAE JOSE RWEYEMAMU WA OYSTERBAY...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Hii nimeipata leo Doctor!,UUME Wangu HAUSIMAMI "UNA MKE? Hapana "UNA MPENZI?" Hapana. "JE UNAFANYA STAREHE YOYOTE? Hapana! " MSHENZI WEE!! SASA UNATAKA ISIMAME ILI UTUNDIKE KOTI?
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Chwaaaaaaaaaaaaaa.....tukakamatwa. Nkasema nanunua hii kesi. Isome hii thread kwa rafudhi ya kisukuma. Utaipenda. Wazee wa jf bhana!. Mia
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom