JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
niaje marafiki! Nimekua nikipita na kusoma comments za watu bt since now nimeamua kua active member wa chit chat.
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Jamani,mie ndio nilikuwa nataka kutangaza nia ya kuoa hivi,na Baba V amekuwa BANNED!! Sijui nifanyeje!!
0 Reactions
116 Replies
6K Views
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Wajameni Ijumaa hii ina Dalili zote za January. How is you pocket placed today?
2 Reactions
116 Replies
6K Views
Babe: Hallo.. Sharo: hey swtie are u eyes?? Babe: Nini?? Sharo: are u eyes?? Babe: bwana sikuelewi, unasemaje? Sharo: nasema hivi are u eyes?? Babe: naona hauna la maana me nakata simu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jamaa alikuwa safarini gari likamharibikia kijijini, akaomba hifadhi, akakaribishwa baada ya kuoga na kula MZEE sasa huyu mgen alale wap? MKE saa hizi ni ucku akalale na bebi jamaa akaona huyu...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Mie najua rais haend kutoa gogo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mume na mke wameingia hoteli ya kifahari mume; wife unakula nini? Mke; utakachokula na mie hichohicho. Mume; mhudumu...!! Mke; naamu mkumbwa nikusaidie nini tafadhali? Mme; chips...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tangu nimeijua Jf na kuamua kujiunga nimefaidika na mengi,mojawapo ni kujuwa kwa undani siasa za Tanzania ambazo zamani nilikuwa nazisikia midomoni mwa watu wachache,sasa Jf imeweka kila kitu wazi...
3 Reactions
74 Replies
4K Views
Heeeheeeeeeeeeee......................
2 Reactions
10 Replies
2K Views
MOSHI=Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo; ROMBO=Ruhusu Ongezeko la Mapesa Bila Ombaomba; HIMO=Hata Ikipungua Mungu Ongeza; MARANGU=Mungu Angalia Raia na Ngawira Utuhakikishie; MAMBA=Mungu Ahidi...
2 Reactions
3 Replies
7K Views
.... member wa jf tubadilike sasa. humu ndani kumekua na tabia sikuhizi ya baadhi member kutofikiri. inapotolewa mada mara nyingi huishia kwenye marumbano, matusi na kejeli. uhuru wa kutoa maoni...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwanadada mmoja mrembo alienda mjini kufanya shopping,akapita mahali flani akaona muuzaji mmoja anauza kasuku elfu 25....akaamua kuulizia: Dem:"Mambo." Muuzaji:"Poa sista...nikusaidie nini?"...
1 Reactions
6 Replies
8K Views
Wanajukwaa legwa nawakubali Wandugu ktk harakati ya hapa na pale hp jukwaani! Mi ni mgeni lakini ninafuraha kuwa nanyi pale mtakapo nikubali kwani nimekuwa naperuz kitambo na mpaka sasa nimeamua...
2 Reactions
54 Replies
3K Views
Naamini imetoka mbali sanaa.pamoja na changamoto zinazoisonga lakini bado ni imara na inazidi kupata wageni wapya kila siku,mwanzo kabisa mie nilikuwa naingia kwa beep hatimae nimepiga kabisa...
5 Reactions
107 Replies
5K Views
kati ya misamìati iliyo maarufu hapa jamvini ni hii; -kugegeda -napita tu -mkuu nk ongezea kama vp! nawasilisha!
0 Reactions
13 Replies
987 Views
Hisia zako za kimapenzi,Nazungumzia mapenzi ya aina yoyote
0 Reactions
12 Replies
2K Views
natafuta marafiki wa kubadilishana ideas mim ni msichana i prefejinsia zote:bange:
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Ole wao serikali wanaozuia madanguro kwa maana wateja wataamia kwa wake za hao wanaozuia uwepo wa mdanguro . Wito wangu ni kuwa yale mambo ya nguza na wanawe yasijirudie. Amiin
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom