JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hope u mzima wa Afya huko uliko! Najua wapo wengi wanaokumiss Amyner ila nahisi mi nimekumiss zaidi yao! Nimekuwa mpweke nikifarijiwa na kaka zangu Asprin Kaizer na Bishanga na wapenzi wao akina...
9 Reactions
238 Replies
11K Views
Yan nlivyo na mapesa kibao hata billgate namuona ka ---- mmoja hv xa nataka mntajie nmchukue demu celebrity wa bongo mkalii,nimchukue na uktamtaja 2,nakuchapa vocha ya 50,0000 ila halahala mcniloge
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wadau.wote.wa.chit.chat.naombeni.dua.na.sala.zenu.popote.mlipo.kesho.nasafiri.naelekea.Tanga.....Mwenyeji.wangu.yupo.mmoja.tu.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Baada ya kuvumilia sana hatimae uvumilivu umenishinda.. Nime-fall sana binti mmoja humu japo najua kuna vidume vinavyojifanya kujua kuwahi.. Niko radhi kumlipa yule ambae atakua nae huyu binti ili...
2 Reactions
75 Replies
5K Views
Chupi za Bikin bwana!!!. zamani ilikuwa unafunua chupi uone ta.ko... siku hizi mambo ya bikini, inabidi ufunue ta.ko... ili uone chupi. Mendeleo na vimbwanga vyake
3 Reactions
12 Replies
10K Views
Wadau tufanye vipi elimu ya Tanzania iwe ya mfano.
0 Reactions
4 Replies
908 Views
Nimeikuta hii wavuti.com TANGAZO! kwa wasio na VING'AMUZI majumbani mwao! Tunaonyesha vipindi vifuatavyo na gharama zake kama ifuatavyo: 1- Taarifa ya Habari Tshs 250/= 2- Tamthilia ya...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
haha....
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuwa muwazi tu,funguka,twambie usiku wa kuamkia leo umeota nini? Bishanga nimeota gfsonwin ananitongoza,nikamtolea nje kudadadeki,chezeiya bishanga mi natoka na wanawake wa kitasha tu.
5 Reactions
106 Replies
5K Views
Jamaa akiwa amebeba jeneza kuutoa nje mwili wa Marehemu huku watu wote wakiwa wametawaliwa na ukimya wa majonzi ghafla simu yake ikaita kwa kawimbo "kimasomaso mwanangu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu nimekutana na hii!
2 Reactions
36 Replies
2K Views
A priest is walking down the street one day when he notices our Little Johnny trying to press a doorbell on a house across the street. However, Little Johnny is very small and the doorbell is...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Habar wandugu hodi hapa.vp sisi wabibi(wazee) tunaruhusiwaaaa kuingia hapa cht chat
0 Reactions
3 Replies
669 Views
Mwaka 2013 Nokia wameboresha lugha ya KIHAYA KWENYE SIMU,ukitaka kumuwezesha Mzee ili aitumie simu bila taabu unabadilisha hivi kaa sawa! 1. PHONE BOOK – EKITABO KYE SIMU 2. Names –...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
tangu nimejiunga na chitchat naona kila mtu ana mke/mume wake,so natangaza nia nimechoka kuishi pekeyangu,kwahiyo natangaza nia alie tayari kuishi na vampire aliejizeekea(cow hazeeki maini)...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Poleni na Majukumu ya ujenzi wa Taifa wakuu Nimeskia katika kipindi cha Heka heka cha clouds FM kuwa kuna kijana mwenye umri wa Miaka 18 mwanafunzi wa kidato cha sita alikuwa na rafiki yake wa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mke.wa.kizaramo..."""..Mwaka.ndo.ushaanza.achana.na.mambo.yako.ya.ki.analojia.kutulisha.mchicha.kila.siku....Sasa.hivi.ni.mambo.ya.ki.DIJITALI.TUNATAKA.KUKU.SOSEJI.NA.WALI.KWA.SINDANO.""....mnakazi...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
jamaa mmoja alitupia k2 cha Chuga , eti juu ya mti. bahati mbaya c akadondosha njiti ya kiberiti akaitazama akaZOOM, akaona ipo karibu saizi ya kuinama tuu, si akainama aokote, kilichotokea mimi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu wengine bwana!! Eti unakuta mtu ni member humu,afu anajifanya mod!! Nitamgeuza mtu panya sasa hivi,ohooo!!
0 Reactions
44 Replies
3K Views
We need changes'
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom