Ingekuwa vipi kama kila unapomsaliti mkeo/mmeo jino moja linatoka.
Kudadadeki! Teh Teh Teh Teh Teh!
Saa hizi ungekuwa kibogoyo ndugu yangu. Mipengo na mifizi nje nje. Teh Teh Teh Teh Teh...
Jamaa baada ya kupewa kazi ya ukalimani wa lugha ya kingereza mambo yalikuwa kama yafuatavyo:-
MZUNGU:My name is LIVINGSTONE.
MKALIMANI:Jina langu ni JIWE LINALOISHI.
MZUNGU:I was born in NEW...
Ndugu wana CC, ikumbukwe kuwa hapo awali nilitoa sample moja ya JF wallpapers...kwa muda nilikua kimya ila sasa nimeweza kuongeza nyingine kama 4 au 5 hivi ikiwemo moja ya Christmas na Mwaka...
Wapo wanyama wengine ni wapole na wavumilivu hata kwenye mauti kama hawa.
http://www.youtube.com/watch?feature=endscreen&NR=1&v =wS1rU5SAskU
Pregnant wildebeest attacked by two hyenas...
Makabila mengine wanakuwa wanamajina ya ajabu sana eti mtu anamzaa mtoto wake anamuita, sikuzani, sikupenda, sikujua, mnayenu, fitina, sijali, na wew tupia yako unayoyafahamu...
Dear Mwl. Nyerere,
Tangu uondoke hali hapa Tanzania
imebadilika,
1.siku hizi mlima Kilimanjaro uko Kenya,
2.ziwa Nyasa liko Malawi,
3.Tanzanite iko Kenya,
4.Tanesco ni ya Lowassa,
6.Rais...
Happy Birthday Mwita Maranya a.k.a baba yake mchumba wangu gfsonwin na mpendwa wangu wa moyo Zion Daughter.
Tunakutakia Mwita Maranya maisha marefu na yenye furaha, uendelee kukua huku ukimpendeza...
Jamani namtafuta mke wangu! Sijamwona weekend yote hii! Ata anibeep tu mi ntampigia. Yaani DA wangu nimejua jinsi ulivyo na nafasi kubwa kwenye mtima wangu yaani hata Tembo hawezi kuiziba kwa...
Hilo neno limekuwa likisikika kwa watu mara nyingi sana kwamba mjini 'dar' kuna dili nyingi hauwezi kufa kwa njaa, sasa jamani mi ningependa kuzijua hizo dili ambazo baadh ya watu wamekuwa...
Natumai wanajf mnaendelea vyema ila nina Neno la kusema nanyi mwishoni mwa mwaka huu 2012
Awali ya yote nawatakia sikukuu njema ya XMASS na mwaka Mpya mwema. Ila nina jambo nataka kuwashirikisha...
Jamaa watatu walishinda pesa,walipozigawa wakaamua kila mmoja wao atoe kiasi flani kama sadaka.
Jamaa wa kwanza Wafula akasema:"Mimi nitachora duara,nisimame katikati nirushe pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.