"If I sold my house and my car, had a big garage sale and gave all my money to the church, would that get me into Heaven?" A teacher asked the children in a Sunday School class. "NO!" the children...
Jamani, hebu njoni tubonge mastory ya tauni
Mie leo siku ya mwisho kuja hapa
Kuanzia kesho (te te te te lol, ulidhani nimeandika sirii, nimekubamba) atarest in peace, but in case of emergence
I...
Hay waungwana jamani tumuombe BAKULUTU anaumwa sana tumbo kwa habari nilizopata kwa ndugu yake wa karibu sana BAKULUTU amelazwa huko TUMBI KIBAHA yaani hata kuongea hawezi jamani tumkumbuke best...
Jamaa flani mvutaji bangi asiyejua kizungu alikamatwa na misokoto ya bangi;akashikwa akashtakiwa na kupelekwa Mahakamani kwa hukumu.
Wakati kesi inaendelea kukatokea vurugu mahakamani,Hakimu...
Siku moja ticha wa dini alikuwa
anafundisha darasa la 3. Akauliza
"wangapi wanataka kwenda
mbinguni?" darasa zima
wakanyoosha mikono kasoro dogo
mmoja tu. Mwalimu akamuuliza
"wewe hutaki...
Nimekosea nadelete wapi wajameni!!!!!!
Kaunga so sorry, nilitaka ku pm!
Bia hizi mbaya sanaaa!
Kaunga im more than sorry!
Najua natuma Pm kumbe naanzisha topic! Jesus Christ! Dah bora...
What is facebook?
It is a place
Where boys post a joke
Get no response.
When girls post the same joke
Get 150 likes, 300 comments and
600 friend requests.
Familia ya cc ilikuwa na wakati mzuri sana wiki end iliyopita. Lile jinamizi la kutokukutana kwa member lilishindwa na kutokomea. Member wa Dar walikutana wakati member wa Mwanza wakiwa pamoja na...
Ndugu,
Mbumbe (Catherine P. Julias) wa viti maalumu kupitia chama cha Sauti ya Umma (SAU) amefumaniwa na mme wa mtu wilayani Temeke na kukatwa mkono wake wa kushoto, kwa sasa amekimbizwa Temeke...
... Jamaa waliojiona ni wajanja ... siku moja kabla ya kufanya mitihani katika chuo kimoja... wanachuo hao walikwenda kujirusha katika kumbi mbalimbali za starehe, hatimaye walilewa sana na...
kabla ya kula dend* fanya yafuatayo kwanza pigen mswaki mates kwa pamoja pili,chukua tochi kukagua mwenza wako hajawai kung'oa jino kama kawahi ng'oa tafuta plasta uzibe pengo la mwenza wako...
Hivi unaijua misemo na maneno yanayosemwa na yule mwanadada kule juu wakati mmepanda kivuko cha MV MAGOGONI??
Baadhi ya maneno hayo au misemo hiyo maarufu....
Abiria mnaoingia katika kivuko cha...
Duhhh, hiii XMas mbona inanielemea kichwani?
Yaani hamna kinacho fanyika, niko ki Xmas zaidi.
Yaani hata kujibu e mail sitaki, ninacho kitaka ni JF zaidi.
charminglady,
cacico
zion daughter...
japo kila mtu ana haki ya kuamua nini avae siku hizi,lakin wanaume wanaovaa suruali za kubana sana inasikitisha,utakuta mtu anatembea na mchumba wake/mke wake,ukiwaona kwa nyuma uwezi jua nani...
Mimi nachoka kabisa Preta pembeni na ila nachoka kugeuza shingo nyuma pamepambwa na Lili Flower, Wiselady,Pj.chipkizi yaani watu kibao gari limepambwa na marafiki wa ukweli familia ya upendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.