JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nataka kujua nyimbo ya kwanza ya dazbaba imetoka mwaka gani???? Na kati ya ngware na daz baba nani wa kwanza kurelease nyimbo na ilikuwa mwaka gani na albumu ya kwanza ya mangware ilitoka mwaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The Mexican maid asked for a pay increase. The wife was very upset about this and decided to talk to her about the raise.She asked, “Now Maria, why do you think you should have a pay...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hebu soma haya maneno ya kiswahili yanavyoandikwa ni tofauti na yanavyotamkwa halafu tunaona poa tu...kwa mfano: NJE......eti tunatamka NNJE!! MBWA..........MMBWA Hebu nipe mengine.......
1 Reactions
4 Replies
2K Views
No man can be satisfied with 4 things in his life; (1)mobile (2)automobile (3)tv (4)wife
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Asie na Mwana Aeleke Jiwe.....!!!!! Na Asie Na Kofia Aeleke Pembe.....!!!!!! HABARI ZENYU BHANAA......!!!!!!! NARUDIA TENA HABARI ZENYU BHANAAA........!!!! Mlio Pair Usiku huu Hongereni...na Mlio...
13 Reactions
141 Replies
8K Views
Kuna jamaa mmoja walihama na kwenda kuishi Uswahilini ,alimchoka Paka wa Mkewe na kufikia Hatua ya kumchukiaa , Alimaua kumbeba ktk gari yake nakumpeleka nyumba Kama 50 kutoka Hapo...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Wadau nisaidieni,eti utamu wa kukata gogo na kutoa uchafu ckioni kipi noma.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nani amewahi kuamka asubuhi na kukuta mtu anamfuatilia utafikiri ameua kwao? Watu wengine bwana!! Yaani unakuta mtu mzima na ndevu zake anafuatilia weeee maisha ya mwanaume mwenzie au mwanamke...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Nawapenda wote Mwaaaaaaaaaaahhhhhhhhhh!!!!
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Je kama machagudoa pia wangekuwa na WARNING SIGN(alama ipi ya onyo)? Je kama mapenzi yangekuwa yanauzwa dukani....Je container lake lingekuwa na WARNING SIGN(alama ya onyo) gani?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana chit-chat heshima mbele, kwa watoto wa 90 miongoni mwa michezo ilikuwa malani, mitaani kulikuwa na mabingwa ambao waliogopeka kwa malani maana hao unaweza rusha ngumi au kulia. Shuleni vivyo...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
A four-year-old boy was asked to return thanks before Thanksgiving dinner. The family members bowed their heads in expectation. He began his prayer, thanking the Lord for all his friends, naming...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Yaliyo nikuta leo ni makubwa nimepanda basi fulani kutoka Mwanza kuelekea Dar. Niliambiwa ndilo linaaminika. Tulipofika Shinyanga disck za tairi la mbele zikawa zimeharibika. mafundi walitumia...
0 Reactions
60 Replies
3K Views
Nani amewahi kupata BAN? Jamani BAN ni mbaya sana!!! Yaani uhuru wote unanyimwa,chawa kibao gerezani,hakuna kuonana na ndugu na jamaa,habari za uraiani ndio unazikosa kabisa!!! Sasa,ingekuwa...
1 Reactions
51 Replies
3K Views
1.Gari la kuvutwa hali overtake. 2.Kisigino hakikai mbele. 3.Mganga haagizi tembele. 4.Wimbo wa taifa haupigwi disco. 5.Feni haiwashwi beach 6.Mshkaki hauchomwi kwa jiko a gesi. 7.Hata bibi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
1. Ni Rais anaependa kusafiri kuliko kukaa nchini kwake 2. Ni Rais anaependa kubembea akiwa nchi za watu 3. Ni Rais anaependa kusikilizwa na wazee badala ya yeye kuwasikiliza wao 4. Ni Rais...
0 Reactions
87 Replies
11K Views
Je wadau mnakubaliana na hili tangazo linavyosema? hebu cheki hivyo vivazi vya akina lara 1 na wenzake unaweza kupita hivihivi kweli bila kugeuza shingo??
2 Reactions
8 Replies
1K Views
UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE Babu yako ni mgonjwa sana na wewe ni mjukuu pekee unaependwa kuliko hata wanawe , babu anasema anataka kuongea na wewe neon la mwisho la Moyoni kabla hajakata roho , watu...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mungu Onesha Sehemu Hela Iko (MOSHI) 1. Hata Ikipungua Mungu Ongeza! (HIMO) 2. Mungu Angalia RAia NGawira Utuhakikishie! (MARANGU) 3. Mungu Ahidi Mapesa Bila Ajira! (MAMBA) 4. Mungu Wekeza...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hiiii, Guys Please Help me, I want the answer of this question. If you guys then please let me know : " Who was the man that walk in the Space First Time ?? "
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom