SIJUI KAMA SIKU HIZI ZIPO HIZI1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili'
5. Kupamba kadi sebuleni
6. Ukumbi wa...
Mi binafsi nitakunywa kreti moja ya bia nikiwa kwenye kaburi la baba yangu aliyekufa kwa sababu yao, ingawa pombe situmii! Wewe je? Tiririka . . . . . !
salamu sana wakuu
siku ya leo huku mkuu rombo juwa limekuwa kali sana kuna vumbi la kufa mtu
embu 2pe update za hali ya hewa hapo ulipo
nawasilisha
update za leo
leo asubui hapa rombo baridi...
Mfano umeendesha gari ghafla kuna mtu kakugonga kwa gari lingine kushuka na hasira zako unakuta ni mdada bonge la mdada mrembo ana kila kitu kakamilika kila idara **** **** shepu anayo kiuno...
Mwanadada mmoja mrembo alienda mjini kufanya shopping,akapita mahali flani akaona muuzaji mmoja anauza kasuku elfu 25....akaamua kuulizia:
Dem:"Mambo."
Muuzaji:"Poa sista...nikusaidie nini?"...
Nimekutana naye muda si mrefu anatokea Amana hospital kupima presha,kanambia usiku kucha hajala la. cacico of all the people kwani nini baba wa watu umemuacha solemba kisa papaa...
Naombeni mnijibu kama tutawajoin wenzetu wa arusha kwenda tanga nataka kupanga mambo yangu mapema na baby wangu tafadhali,au mnataka niachike tena?
Acheni hizo kama hamtaki semeni
na Rejao na...
Nimefanya uchunguzi wa kina nikagundua hili jukwaa la chit chat linapendwa sana na mafreemason. ukitaka kuamini angalia avator zao, hata mwandiko wao umekaa kifreemason mason. pm zao zimekaa...
Jamaa mmoja alikutana na mwanadada mmoja mwenye chunusi nyingi usoni na maongezi yao yakawa hivi; Jamaa; dada samahani unaitwa nani? Dada; naitwa Mwajuma. Jamaa; unatokea wapi? Dada; nimetoka...
Ugua pole madam sweetlady, kukosekana kwako jukwaani leo ilinifanye tuulizane.
pole sana nakuombea kwa mwenyenzi mungu akuponye haraka tuendeleze harakati za kimaisha.
afu ujue kuna member...
Wadau,nina stress kupita kiasi!!
Je,ni njia gani bora ya kupunguza au kuondoa kabisa stress?
Maana naogopa hali ikizidi hivi naweza nikajidhuru!
Msaada wenu Chit Chatters,namaliza vipi stress?
Nashukuru kuwa mmoja wa mwanafamilia wenu kwani nimekuwa nikifuatlia hoja mbalimbali na michango yenu kwa ujumla kwa muda mrefu na ambayo inaelimisha,inaburudisha na pia inaonya kwa wale wanaopotoka.
Kichwa cha habari chahusika. Nimeletewa taarifa na mmoja wao kuwa baada ya kupima na kupembua namna ambavyo wameshindwa kuwa karibu kithioritikia na kibaiolojia kutokana na umbali wao na majukumu...
Tunaimani na tunaambiwa yakuwa msanii ni kioo cha jamii, je tunaelewa maaana ya huu msemo na nikweli wasanii wetu ni kioo cha jamii? Kioo huwa hakibadishi sura au uhalisia wa mtu/kitu,kioo...
Wapendwa wana jamii, kuna eneo lipo BUNJU A. nahitaji kulinunua, lakini anae hitaji kuniuzia amejitaja kama ndg wa D. BALALI, Msaada ninao uhtaji ni kupata mawasiliano ya watoto au mke wa D.BALALI...
Napenda kuuliza maana unasikia mtu anasema mimi mapenzi yetu hayakuwa ya kuzaa mtoto sasa kama umezaa mtoto mimi sijui!!!.....matokeo yake wanaopata tabu ni akina mama na watoto na pengine...
Duh!
Nilimtania Paw kuwa ameaga dunia na matendo yake maovu na kuokoka!!
Weeeh!
Wacha anilambe ban ya wiki 2!!!
Duuh!
Nashukuru nimefunguliwa salama!
Jela kubaya weweee!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.